Prof. Tibaijuka: Nimelelewa kujua kwamba ikifika wakati fulani ni lazima nitafute mume. Una miaka 30 unaona bado nini?

Siku hizi Vijana hawataki Kuoa Mama wa nyumbani

Wanataka Kuoa Mke mfanyakazi/Mtumishi wakati huo huo anataka kupewa huduma zote na Mke wake

Mke anarudi Kazini saa 3 usiku Kwa wale wa hapa DSM, Mume naye saa 3 usiku

Kila mmoja amechoka na kazi

Hivyo inawalazimu wawe na Dada wa kazi kwaajili ya kuwahudumia chakula na Maji ya kuoga

Ukifika kitandani, Mke kachoka hivyo hawezi kumpa tendo Mume wake

Kuweza kukidhi haja zake, Mume anahamia Kwa Dada wa kazi

Kifuatacho kufumaniwa, kisha Ndoa kuvunjika hapo hapo 🙌
 
Niko Tayari kuoa mmoja wapo ya walioko hapa!
 

Attachments

  • VID-20250128-WA0033.mp4
    3.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…