Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
My role model ana ni inspire sana huyu mamaUhaya bhana, anakwambia "na nina elimu ya juu kabisa".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My role model ana ni inspire sana huyu mamaUhaya bhana, anakwambia "na nina elimu ya juu kabisa".
Upstairs yupo vyemaMy role model ana ni inspire sana huyu mama
Ni kioo cha jamiiiUpstairs yupo vyema
NakujaHey popote ulipo,,will u marry me 😢
Niko Tayari kuoa mmoja wapo ya walioko hapa!Prof. Anna Tibaijuka anasema bora hata ndoa zinazovunjika kwani hivi sasa hakuna ndoa, vijana hawaoi, wasichana nao hawaolewi.
Watu wanahangaika tu, asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini?
Kwa kizazi chake ilikuwa ikifika wakati fulani lazima atafute mume wakuolewa nae kwasababu walilelewa hivyo.
View attachment 3215625
Pete utaikuta huku hukuNakuja
Oa woteNiko Tayari kuoa mmoja wapo ya walioko hapa!