Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Profesa Anna Tibaijuka amesema haridhishwi na mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa mchakato wake unaonekana kwenda polepole kuliko matarajio ya wengi.
"Tundu Lissu kwanza alikamatwa, yaani alishtakiwa, yuko polisi, tunamwona. Wakati mwingine kesi yake tunamwona inaenda polepole, haifurahishi inaenda polepole, ningependa iende haraka zaidi lakini hali ndio hali ilivyo, hali halisi ndio hiyo.
Hiyo sio uchochezi, ni kuonyesha kwamba, na ni ushauri. Na ni ushauri nautoa kabisa kwa dhati, kwa uma, lakini pia kwa taasisi yenyewe pamoja na rais kwamba, hiki kitu... sisi sote hatunacho."