Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

Vipi hatuhoji dini yake leo ?
Hapo wakristo huwasikii kuhoji hata kidogo, na kizuri zaidi ukitaka kujua Waislamu waungwana Wala huwasikii kulalama au kusema mbona wote wavaa misaraba, Waislamu hawana udini Wana utaifa, hawana chuki pia ,

Hila Hawa wavaa misalaba aisee Wana udini Sana sana
 
Kuna watu wakiwekwa ofisini nahisi ni mali yao binafsi.Tulienda kwa waziri wa AFYA akatusukuma kwa KATIBU MKUU ,Katibu mkuu akatupeleka kwa Mganga mkuu DR.AIFELO,baada ya hapo tukakwama.
Poleni sana.

Kuna watu hawastahili uongozi kabisa

Kusoma sana sio ndio sifa nzuri ya uongozi

Uongozi ni kipawa

Wengine wanatumia kama fimbo ya kuchapia wenzao.

Wemgii wanatumia kama fursa ya kutoka kwenye umasikini wao.

Inasikitisha sana
 
Samia,kama si vituko vya kunyweshana juice na wakuu wengine wa nchi,ni fukuza fukuza,na teua,teuzi zisizo na maana kabisa,
Mabango Mengi ya kujitangaza,na upuuzi kibao,huu utawala wake umekuwa wa hovyo,kama wa Mzee wa ruksa,
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART).

Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni Katibu Mtendaji, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC).

Amemteua Prof. Tumaini Joseph Nagu kuwa Mganga Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Prof. Nagu alikuwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Tiba, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS). Prof. Nagu anachukua nafasi ya Dkt. Aifello Sichalwe ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Amemteua Bw. Deusdedit Kamalamo Bwoyo kuwa Mkurugenzi wa Idara va Misitu na Nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii. Bw. Bwovo alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Idara ya Misitu na Nyuki.

Amemteua Bw. James Mahanga Sando kuwa Katibu Mtendaji wa Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (Public Procurement Appeals Authority - PPAA). Bw. Sando alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Fedha Kampuni ya Crown Accounting and Consulting Firm, Dares Salaam.
View attachment 2394684View attachment 2394685
Sisi vijana tuendelee kujiajiri sio
 
22 October 2022

Prof Tumaini Nagu: Tanzania’s New Chief Medical Officer

Photo - Tumaini Nagu, Tanzania's Chief Medical Officer

President Samia Suluhu Hassan has appointed Professor Tumaini Joseph Nagu, a specialist in internal medicine, to be the Chief Medical Officer.

Prof Nagu’s appointment is effective since October 19, said a statement released by Statehouse on Saturday October 22.

As Chief Medical Officer, she will be tasked by the Permanent Secretary to oversee the Health Ministry’s divisions and units that are headed by directors. Her work also entails overseeing the roles of Regional Medical Officers across the country.

At the time of her appointment, Prof Nagu was the Acting Head of Department-Internal Medicine at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences. She previously worked as the Head of Department of Internal Medicine at Muhimbili National Hospital (MNH).

Nagu, a dedicated physician, with a huge portfolio in research and the treatment of Pulmonology and Infectious Diseases, has also worked as Senior Public Health Monitoring and Evaluation Consultant: Local funding agent (LFA) for Global Fund for AIDS, Tuberculosis and Malaria for Tanzania and Zanzibar Portfolios from 2008.

According to State House, Prof Nagu now takes over as CMO, replacing Dr Aifello Sichwale who “will be assigned other duties.”

Education
Prof Nagu holds a Ph.D in Medical Science from Karolinska Institutet – Stockholm, Sweden which she obtained in December 2017.

In 2008, she graduated with a Masters of Medicine – Internal Medicine from the Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), however, she also obtained a Masters of Public Health Methodology (Majoring in Statistic and Epidemiology) from Université Libre De Bruxelles (ULB) in July 2003.

She obtained her Doctor of Medicine degree from the University of Dar es Salaam in 2002 and worked as Medical Officer for years before embarking on post-graduate studies.
Source : Prof Tumaini Nagu: Tanzania’s New Chief Medical Officer
 
hapa Wala nguruwe huwezi kusikia wakilalama, maana wameteuliwa wavaa misalaba watupu, hapo wanakenua tu
Acha udini, unawezaje kupoteza muda wako unahesabu majina ya watanzania wenzako kwa minajili ya dini zao. Uonage aibu na huo ubaguzi ofisi za serikali siyo msikitini kusema unaenda kuswalishwa
 
Kazi iendeleee, mama yupo kazini
Ina maana hakuna watu wanaoweza kuFIT kwenye hizo nafasi ni walewale. Mtu amestaafu, anakuja pension yake! Unamteua kurejea kwenye kazi tena ya juu! Huku ni kuwakatisha Tamaa hata wanafunzi waliko vyuoni! Matokeo yake ni Nini huku Kwa mtaani!!
Mama Kwa kweli hapo naona umeteleza na hao washauri wako wanakupoteza! Huiendelezi Tanzania bali unaibomoa!
 
Nyinyi mnapoletaga udini wenu gumu katika teuzi za mama huwa hilo hamlijui?,leo mama kawateua nyinyi kelele hamna,wala nguruwe akili zenu ziko kama za nguruwe mnazokulaga
 
Hapo wakristo huwasikii kuhoji hata kidogo, na kizuri zaidi ukitaka kujua Waislamu waungwana Wala huwasikii kulalama au kusema mbona wote wavaa misaraba, Waislamu hawana udini Wana utaifa, hawana chuki pia ,

Hila Hawa wavaa misalaba aisee Wana udini Sana sana
Kwani waziri dini gani?....
 
Back
Top Bottom