TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

RIP Prof.Wamba Dia Wamba..hyu alikuwa ni msomi alietumia elimu yake kuichalenge Serikali ya Mobutu Seseko Zanga wa Banga. Namkumbka Udsm na RTD Enzi hizo alikua akialikwa kwenye Makala kama za Mzee Simbeye siku hizi.serikali nyingi duniani hazipendi wasomi wazikosoe hata Wamba Mobutu alimwona kama mwaasi kwsabb tu hyu Prof alikua akiandika against utawala wa Mobutu.
RIP PROF.WAMBA ila baadhi ya wanazuoni wenzako wamebaki kuunga serikali Vyeti vyaoo vimefichwa tumboni.!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
R.I.P Pof.

Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Prof. Horace Campbell mjamaika huyu na pan-africanist mzuri sana
 
R.I.P Pof.

Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Kumbe mtambuka umekula chumvi. Tafadhali fanyia edit avatar yako ili upewe heshima stahiki

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hata akifa prof huko msumbiji mtaleta Tanzia hapa? Aisee..
 


Mimi nikadhani alikuwa mtaalamu wa masomo ya sayansi!!!
 
Nampa pole nyingi Madame Helen umekaa sana Africa almost 40 years. Nadhani hautarejea America
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…