Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Roho imeniuma sana sababu nlishawahi pata lectures zake nikiwa udsm miaka hiyo na jamaa zangu wawili wamo humu. Miaka hiyo nafanya masters. Prof alikuwa na madini sana na tulimpenda.sema tu alianza naye kuingiwa na tamaa...otherwise angebak udsm aendelee kupiga pindis mbalimbali za historia na siasa pia.