Prof Zevit: Mwanamke aliumbwa kutoka kwa mfupa wa Uume wa mwanaume na sio mbavu

Prof Zevit: Mwanamke aliumbwa kutoka kwa mfupa wa Uume wa mwanaume na sio mbavu

kwanza huyo jamaa inaonyesha anaamini uwepo wa mungu.
Hao watu wamezoea kutuongepea kila leo.
 
Ni kama inaleta sense kiasi Fulani 😉 Mnaobisha wote leteni tafiti zenu hapa tuzichambue! That is why we are so needed, kumbe tume-originate patamu hivyo!!😀
 
Duh! hilo nalo neno!!!
Huyo prof. hakuzaliwa na mwanamke kama ilivyo kawaida ?.
Kiumbe chochote hapa duniani kimeumbwa au kimezaliwa. Vingenevyo kimetengenezwa na binadhamu; kwa mantiki hii huyo prof.wenu ni roboti sio binadamu!
 
No wonder they like hii kitu very much, especially ikiwa imekomaa na very strong coz' it reminds them their origin! Asikudanganye mtu bhana, East to West, home is the best....
 
Na mungu aliumbwa na nini?

Acha kukufuru kwani Mwenyezi Mungu ni alpha na omega, mwanzo na mwisho. Nenda ukatubu kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu kwani siku zako zinahesabika. Ungekuwa unaishi wanakotawala ISS, Saud Arabia au Iran si ajabu ungeuawa kwa kukata ahingo ijumaa ijayo.
 
Sijadhihaki mama mdogo wangu ila nimeuliza tu.
Hivi mungu aweza kuwepo tu kwa bahati mbaya bila kuwa na muumba wake?
 
HAKUNA HAJA YA KUPANIC.SIKU ZA MWISHO KUTAKUWEPO NA ONGEZEKO LA MAARIFA.HII NI ARIFA POTOFU NA NEGATIVE.NGOJA NIZAME NIJIRIDHISHE UPOTOFU HU, MAANA HEBREW SCHOOLERS WATAKUWA WAMESHAMPIN DOWN HUYU PROF MJANJA MJANJA.
 
Back
Top Bottom