Na mungu aliumbwa na nini?
Sijadhihaki mama mdogo wangu ila nimeuliza tu.Acha kukufuru kwani Mwenyezi Mungu ni alpha na omega, mwanzo na mwisho. Nenda ukatubu kwa kumdhihaki Mwenyezi Mungu kwani siku zako zinahesabika. Ungekuwa unaishi wanakotawala ISS, Saud Arabia au Iran si ajabu ungeuawa kwa kukata ahingo ijumaa ijayo.
Mkuu naomba unitumie hiyo picha ya dingi πHivi kuna ukweli hawa alilalwa na yusufali