simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Mapori yapo mjini? Kilimo hiki walengwa wakazi wa mjini.ujinga utatumaliza, yaani tunapenda kurukia mambo tu, nchi hii pamoja na mapoli yalojaa kila sehemu tunaambiwa mambo ya watu wasio na ardhi, kweli tuna shida ya ardhi nchi hii????