PROFESA ABOUD: Nimegundua njia za kulima bila kuwa na shamba

ujinga utatumaliza, yaani tunapenda kurukia mambo tu, nchi hii pamoja na mapoli yalojaa kila sehemu tunaambiwa mambo ya watu wasio na ardhi, kweli tuna shida ya ardhi nchi hii????
Mapori yapo mjini? Kilimo hiki walengwa wakazi wa mjini.
 
anaposema amegundua anakuwa anapotosha sana na hatumuelewi aquaponics na hydroponics zimekuwepo tangia muda mrefu na zimekuwa practised sana
Kwa hiyo ni kweli Livingstone hakugundua Ziwa Nyanza (baadaye akaliita jina Ziwa Victoria), ni kwamba watanzania waliokuwa maeneo ya ziwa hilo walishaligundua kitambo.
Sawa nimekuelewa.
===
Kirudi kwenye mada, kwa nini wewe na utalamu wako uliamua kuuficha kabatini na sasa unakuja hapa kupuuzia juhudi za Prof. Aboud anayetaka tujue kuwa aina hii ya kilimo ipo?
 
ujinga utatumaliza, yaani tunapenda kurukia mambo tu, nchi hii pamoja na mapoli yalojaa kila sehemu tunaambiwa mambo ya watu wasio na ardhi, kweli tuna shida ya ardhi nchi hii????
Huwa nacheka hata greenhouse ni za la maenwo ya ardhi ndogo, hivi mth ana heka mia a awrza tumua greenhouse? Acha wazungu wahtufaanye masomi ya net zao na chaga za hydrpbonicsś
 
Hawa maprofesa wa tz mimi ninamashaka nao sana tukianza na yule wa uchumi aliejivua madaraka badae akajirudisha kwa nguvu, akaja huyu aliefunga ndoa na mjukuu wake mpaka huyu anaetushawishi tuache mashamba na kulima kwenye makopo!
Logic ni nini kulima kwenye makopo wakati ardhi tunayo kuuubwaaa! Au mimi ndiyo sielewi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…