Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

Kuna animations utaskia mtu mmoja anasema "We are all gonna die!" 🤣🤣🤣
Anyway nilishaanza kupunguza matumizi ya soda na vinywaji vya ukoo mmoja na soda inapita hata wiki nimekunywa moja au sijanywa kabisa na wakati mwingine mwezi mzima. Nimepunguza matumizi ya sukari kwa kiwango kikubwa pamoja na chumvi nimeanza kutumia wastani na sio chumvi mbichi bali iliyopikwa vizuri. Nliona huko mbele mambo yatakuwa sio mambo afya muhimu.
 
Beer 🍺 je?
 
Mkuu nimecheka mpaka basi kwa hii Post yako. JamiiForums raha sana hakyanani.....!!
Mkuu kufa kupo tu, huyu atakuambia nyama nyekundu hatari, mwingine atasema msile kitimoto sasa tutaponea wapi, uzuri wake unaweza epuka vyote ukakutwa umefia kifuan kwa mwanamke
 
You really deserve to be a Comedian.
 
Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari ipatikanayo katika Soda inayotangazwa mno Tanzania ya Pepsi.

Asanteni Pepsi kwa kuturahisishia Vifo na Misiba yetu kwa Sukari yenu nyingi/ kubwa iliyoko katika Soda yenu hii.

Kazi ipo hakyanani.
Atuache... ata usipokunywa soda utakufa tuu
 
Back
Top Bottom