DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Akigusia siasa nchini Tanzania, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema mfumo wetu kwa sasa unatambua wagombea kutokana na vyama vyao ni wakati sasa mfumo uruhusu wagombea binafsi
Kuhusu sakata la machafuko nchini Congo Profesa, Anna Kajumulo Tibaijuka anasema Tatizo ni serikali ya nchini Congo haiwajibiki.
Chanzo: East Africa Radio
Kuhusu sakata la machafuko nchini Congo Profesa, Anna Kajumulo Tibaijuka anasema Tatizo ni serikali ya nchini Congo haiwajibiki.
Chanzo: East Africa Radio