Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

Angejibu kile alichokiandika..
Alichoandika kwenye ripoti ni kwamba kuna 1.5trilion haieleweki matumizi yake... ila shujaa wenu alimuuliza kuwa "eti kuna pesa zimeibiwa!?"

Sasa kwa swali lankipiuzi hvyo ulitaka ajibu ndiyo wakati suala ni matumizi ya pesa pasipo kujulikana!!!
 
Huyu atakuwa na stress babu kubwa!! Atakufa na stress!!
 

Muuzaji mkuu nilimsikia kwa masikio yangu akiahidi kuuza na haya majengo mengine ya serikali yaliyopo Dar baada ya mchakato wa kuhamia Dodoma kukamilika. Sidhani kama issue ya kulihusisha Bunge ilikuwemo akilini mwake upo uwezekano mkubwa njia iliyotumika awali ndiyo ambayo ingetumika tena this time. Safari hii huenda ingekuwa rahisi zaidi maana yeye ndiyo angekuwa mtu wa mwisho.

Bwana yule hakujua kutofautisha kati ya mali zake binafsi na mali za watanzania zilizokuwa chini ya dhamana yake kutokana na nafasi yake. Vyote aliviona ni sawa ndiyo maana alikuwa na audacity ya kutamka hayo niliyoeleza para ya kwanza. Infact upo uwezekano akilini mwake alituona watanzania wote tu mali yake pia ndiyo maana alitaka wote tuwaze kama yeye ukiwaza tofauti basi wewe ni adui. Lakini ashukuriwe yule mwenye hati miliki ya pumzi yetu sote mipango yake ilikuwa tofauti na aliyeenda. Vinginevyo sijui hiyo 2025 tungefika tukiwa na hali gani na baada ya hapo ni nini kingeendelea hatujui pia labda kiongozi wa mazuzu pekee ndiyo analijua hili.
 
Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake

tatizo wanamchokoza, naye anasema kosa lake lipo wapi? je anacho kisemq ni kweli ama siyo kweli? akae kimya ili nani asizungumzwe? hofu yako ya yy kuzungumza ipo wapi?

huyu ndiye mzalendo hasa
 
Huyu mzee mjinga sana, atulie basi ale pesa za MUM serikalini hawamtaki tena.
 
Alichoandika kwenye ripoti ni kwamba kuna 1.5trilion haieleweki matumizi yake... ila shujaa wenu alimuuliza kuwa "eti kuna pesa zimeibiwa!?"

Sasa kwa swali lankipiuzi hvyo ulitaka ajibu ndiyo wakati suala ni matumizi ya pesa pasipo kujulikana!!!
Ahahaha!

Nakumbuka hii!

Na Prof. Assad alivyokuwa makini na mjanja akamjibu hakuna! Magu alijichanganya sana!
 
Alikua muoga na sio mjanja.
Ripoti ya Prof. Asadi ilikuwa inasema 1.5Tr haieleweki matumizi yake.

Magu akamuuliza kuna pesa zimeibiwa?

Hayo ni maudhui 2 tofauti. Yeye akajibu hakuna zilizoibiwa. Ripoti yake inasema matumizi yake hayaeleweki.
 
Sisi watanzania tunapenda cheap politics na kashfa zinazohusu viongozi wa nchi zetu; huku mabeberu yakimamua maziwa kama vile n’gombe ni wao.

CAG pia kaongelea athari za kutokukaguwa migodi, jumlisha hilo na comments za Bitego kwenye kufunganisha biashara.

Aisee inaonekana tunapigwa kweli kweli kwenye migodi with overstated ‘expenses’ kwa kutumia tu mfano wa Biteko yaani beberu kapewa tender ya $1.2 million ya kununua parts, halafu yeye kampa subcontractor mtanzania kufanya kitu hiko hiko for $600K, inamaana na yeye (beverage) anatengeneza faida ya $600K bila ya kufanya shughuli yoyote.

Sasa zingatia kuna makampuni yana list expenses hadi $600 milllion, aisee huko wazungu wanatupiga with overstated expenditures.

CAG anahitajika haraka sana huko.
 
Ripoti ya Prof. Asadi ilikuwa inasema 1.5Tr haieleweki matumizi yake.

Magu akamuuliza kuna pesa zimeibiwa?

Hayo ni maudhui 2 tofauti. Yeye akajibu hakuna zilizoibiwa. Ripoti yake inasema matumizi yake hayaeleweki.
Sasa shida ipo wapi hapo? Kwanza external auditor hana kazi ya kubaini fraud zaidi ya kugagua na kukosoa accounting records only.

Hiyo si ni audit query tu on missing evidence, ndio maana Prof Assad Mwenyewe kila siku anasema ajaita kutokuona hizo tsh1.5 trillion ni wizi.

Issue inaweza kuwa inaccuracy recording process, accounting cut-off period, classification of accounts; kitu ambacho auditor ataomba apewe maelezo hizo hela zipo wapi.

Na serikali ilishamjibu issue ni classification of their accounts records, lakini matumizi yake akitaka kwenda kukagua hizo hela zipo recorded.

Mavuvuzela mnashida sana.
 
- Ule wizi wa 1.5trilion kipindi cha Shujaa wenu, aliusemea kipindi cha Nyerere?
Akiwa kazini au alipotoka serikalini, ni lini na wapi Assad alisema 1.5 tril zimeibiwa

weka taarifa ya gazeti , au ripoti ya CAG, au video clip inayoonyesha Assad anatamka 1.5 tril zimeibiwa
 
Hazikuuzwa nyumba tu, bali na Serikali yenyewe ya JMT pia iliuzwa

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Nakujua! Nakujua!

Njia zako nazijua! Hivyo haunipi tabu na siwezi kujisumbua.

Mwisho utambue, sina mafungamano na chama chochote. Nipo huru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…