secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ha ha haa huweziDogo nataka nidukue account yako ya cyptol Bitcoin nikuibie. Naona unaivest halafu unataka kutupiga humu jamvini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa huweziDogo nataka nidukue account yako ya cyptol Bitcoin nikuibie. Naona unaivest halafu unataka kutupiga humu jamvini
Alichoandika kwenye ripoti ni kwamba kuna 1.5trilion haieleweki matumizi yake... ila shujaa wenu alimuuliza kuwa "eti kuna pesa zimeibiwa!?"Angejibu kile alichokiandika..
Huyu atakuwa na stress babu kubwa!! Atakufa na stress!!Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha wawakilishi wa wananchi.
Hayo yameelezwa na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Musa Assad ambaye amesema mchakato huo ulihusisha Baraza la Mawaziri na Makatibu wakuu huku Bunge likiwekwa pembeni.
Akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Mtandao wa Asasi za kiraia uliojikita katika kuchagiza uwajibikaji kwenye uziduaji (Hakirasilimali) katika wiki ya Azaki inayofanyika mjini Dodoma.
Amesema Serikali imeuza nyumba hizo na mchakato ulikuwa ni baraza la mawaziri wakishauriwa na makatibu kutengeneza waraka na kupeleka kwa Rais ili akubali kuuza nyumba hizo.
“Nani kakuruhusu? Ni mawaziri na makatibu wakuu. Kwanini halizungumzwi sasa jambo hilo. Lingekuwa wazi tungesema hilo haliwezekani lakini tumekaa kimya na hakuna mtu ambaye amesema hili jambo lazima lirudi bungeni tulizungumze ili tutoe ruhusa maalum jambo hili lifanyike ama lisifanyike,” amesema Profesa Assad
Chanzo: Mwananchi
Kitaitwa Ant mazuzu fi Al jamaatNaona pro Asad anatafuta njia ya kuanzisha chama chake cha "Alal Jamaa". Kwa sasa anapima upepo wa umaarufu wake katika jamii.
Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha wawakilishi wa wananchi.
Hayo yameelezwa na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Musa Assad ambaye amesema mchakato huo ulihusisha Baraza la Mawaziri na Makatibu wakuu huku Bunge likiwekwa pembeni.
Akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Mtandao wa Asasi za kiraia uliojikita katika kuchagiza uwajibikaji kwenye uziduaji (Hakirasilimali) katika wiki ya Azaki inayofanyika mjini Dodoma.
Amesema Serikali imeuza nyumba hizo na mchakato ulikuwa ni baraza la mawaziri wakishauriwa na makatibu kutengeneza waraka na kupeleka kwa Rais ili akubali kuuza nyumba hizo.
“Nani kakuruhusu? Ni mawaziri na makatibu wakuu. Kwanini halizungumzwi sasa jambo hilo. Lingekuwa wazi tungesema hilo haliwezekani lakini tumekaa kimya na hakuna mtu ambaye amesema hili jambo lazima lirudi bungeni tulizungumze ili tutoe ruhusa maalum jambo hili lifanyike ama lisifanyike,” amesema Profesa Assad
Chanzo: Mwananchi
Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Ahahaha!Alichoandika kwenye ripoti ni kwamba kuna 1.5trilion haieleweki matumizi yake... ila shujaa wenu alimuuliza kuwa "eti kuna pesa zimeibiwa!?"
Sasa kwa swali lankipiuzi hvyo ulitaka ajibu ndiyo wakati suala ni matumizi ya pesa pasipo kujulikana!!!
Hana lolote huyo ni sawa na mbwa asiyekuwa na meno.Jamaa anazidi kukinukisha tu.
Alikua muoga na sio mjanja.Ahahaha!
Nakumbuka hii!
Na Prof. Assad alivyokuwa makini na mjanja akamjibu hakuna! Magu alijichanganya sana!
Ripoti ya Prof. Asadi ilikuwa inasema 1.5Tr haieleweki matumizi yake.Alikua muoga na sio mjanja.
Yeye ndiye alimlipua Jiwe wizi wa Tril 1.5 unasema hana lolote?Hana lolote huyo ni sawa na mbwa asiyekuwa na meno.
Arudi huko akapalilie mboga zake
Sasa shida ipo wapi hapo? Kwanza external auditor hana kazi ya kubaini fraud zaidi ya kugagua na kukosoa accounting records only.Ripoti ya Prof. Asadi ilikuwa inasema 1.5Tr haieleweki matumizi yake.
Magu akamuuliza kuna pesa zimeibiwa?
Hayo ni maudhui 2 tofauti. Yeye akajibu hakuna zilizoibiwa. Ripoti yake inasema matumizi yake hayaeleweki.
Kama sio sheria za jf ilikua nikuite ng'ombe.Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Weeeeeeeee...Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Akiwa kazini au alipotoka serikalini, ni lini na wapi Assad alisema 1.5 tril zimeibiwa- Ule wizi wa 1.5trilion kipindi cha Shujaa wenu, aliusemea kipindi cha Nyerere?
Hazikuuzwa nyumba tu, bali na Serikali yenyewe ya JMT pia iliuzwaSakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza.
Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha wawakilishi wa wananchi.
Hayo yameelezwa na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Musa Assad ambaye amesema mchakato huo ulihusisha Baraza la Mawaziri na Makatibu wakuu huku Bunge likiwekwa pembeni.
Akizungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Mtandao wa Asasi za kiraia uliojikita katika kuchagiza uwajibikaji kwenye uziduaji (Hakirasilimali) katika wiki ya Azaki inayofanyika mjini Dodoma.
Amesema Serikali imeuza nyumba hizo na mchakato ulikuwa ni baraza la mawaziri wakishauriwa na makatibu kutengeneza waraka na kupeleka kwa Rais ili akubali kuuza nyumba hizo.
“Nani kakuruhusu? Ni mawaziri na makatibu wakuu. Kwanini halizungumzwi sasa jambo hilo. Lingekuwa wazi tungesema hilo haliwezekani lakini tumekaa kimya na hakuna mtu ambaye amesema hili jambo lazima lirudi bungeni tulizungumze ili tutoe ruhusa maalum jambo hili lifanyike ama lisifanyike,” amesema Profesa Assad
Chanzo: Mwananchi
Nakujua! Nakujua!Sasa shida ipo wapi hapo? Kwanza external auditor hana kazi ya kubaini fraud zaidi ya kugagua na kukosoa accounting records only.
Hiyo si ni audit query tu on missing evidence, ndio maana Prof Assad Mwenyewe kila siku anasema ajaita kutokuona hizo tsh1.5 trillion ni wizi.
Issue inaweza kuwa inaccuracy recording process, accounting cut-off period, classification of accounts; kitu ambacho auditor ataomba apewe maelezo hizo hela zipo wapi.
Na serikali ilishamjibu issue ni classification of their accounts records, lakini matumizi yake akitaka kwenda kukagua hizo hela zipo recorded.
Mavuvuzela mnashida sana.