Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

Mzee Assad anasahau kwamba yupo Tanzania, nchi ina wenyewe hii na wao wanafanya watakavyo...
 
Assad ana akili za kijinga sana kama ushenzi wake wa kuwapa supp nyingi pale udsm school of business.

Implicitly anakazia uzuzu bunge na kuwaambia wabunge simtaji mtu naitaja taasisi ya bunge ndiomaana anaibua madhaifu au madudu ya au jalala na inzi wa kibunge. Anaendelea kukazia uzuzu wa bunge kwa kutoa mifano bayana. Huyo mwenye miaka 25 bungeni amekuwepo na uzuzu wake miaka yake yote anastahili kuitwa zuzu.

Mazuzu wakujiteua kama akina Job wapate kuelewa. Sasa Assad hivi umetumwa kufanya timely spinning au ni spantaneous?!!

Mara ujisifu kwa ukiwa udsm hata Magufuli alikuwa anajua wewe ulikuwa unaongoza darasani kwenu, kama wewe ni mteule wa Mungu basi umejaaliwa endelea kula neema huko shambani kwako. Au rudi Udsm kafundisha bado hujafika 65yrs.
 
Kwani kipindi anauza,alikuwa Rais mkuu? Si alikuwa anatumwa hatahivo mlalamikaji CAG kasema baraza la mawaziri walimshauri Rais wa wakati huo,na akabariki kwa nini jumba bovu anaangushiwa hayati. Yeye mwenyewe kanunua nyumba kule Tanga kwa utaratibu huohuo. Si angelisubiri bunge liidhinishe?
 
Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Wewe unafikir anayohoji ni ya UONGO au kweli???
Unajua huyo magufuli alinunua magorofa mawili ya NIC kwa ml 6 tena alilipa kwa installment?
Unajua alimuuzia nyumba mdogo wake mussa wakati hakuwa mtumishi wa umma????
 
Ripoti ya Prof. Asadi ilikuwa inasema 1.5Tr haieleweki matumizi yake.

Magu akamuuliza kuna pesa zimeibiwa?

Hayo ni maudhui 2 tofauti. Yeye akajibu hakuna zilizoibiwa. Ripoti yake inasema matumizi yake hayaeleweki.
Kwa nini nae hakusema pale kuwa hajui matumizinyake kwa sababu wameshindwa kumpatia?
2 na kama hazikuibiwa kwa nini mnasema magufuli kaziiba wakati hamjui kama zimeibiwa?
 
Professor wa Mtambani huyu, majungu na fitina mwanzo mwisho.

Huyu ni Mnafki Mwandamizi anayejaribu kumuanzishia hoja mtu ambaye wala hayupo Duniani na hawezi kujitetea.

Huyu angekuwa Prof halisi na "upstairs" kuko vizuri angeileta hoja hii wakati mlengwa yuko hai.
 
Alimuhofia dikteta mwehu kipindi hiko
 
Acha upuuzi ewe maamuma.. huyo magu wenu mnadhani alikuwa Mungu.. kila kitu kisemwe.

- Ule wizi wa 1.5trilion kipindi cha Shujaa wenu, aliusemea kipindi cha Nyerere?

nani waliiba hizi 2.6 tril??!

huna taarifa kwamba aliziongeza!!!usishange kesho akaamka na kusema zilipotea 5.
 
Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Huyu ni profesa uchwala sana ila ana wafuasi wanoamini kila anachosema. Anasumbuliwa sana na kunyimwa nafsai ya pili ya ua-CAG. Uatadhani elimu yake yote anayojivunia ilikuwa ni ya kuwa CAG wa miaka kumi ! Bure kabisa!!!
 
Huyu prof atulie tu,mbona alivyokuwepo Magu hakuwahi kufungua kinywa chake
Kwanza sijui kwa Nini mnamwita Profesa Hana akili za kufikia uprofesa Hadi anaondoka chuo kikuu alikuwa Associate Professor sio Profesa ni sawa na kumwita luteni kanali wa Jeshi kuwa ni kanali Na yeye huwa anachekelea tu kuitwa Professor wakati sio ilibidi Kama ni mkweli kwa nafsi yake na dini yake akatae kuitwa Proffesor

La pili huyu Assad mwenyewe alinunua hizo nyumba za serikali kwa Nini ashiriki kitu haramu na yeye akanunua ? Azirudishe serikalini upesi Kama ni kweli yeye mtu wa dini
 
Ana haki ya kuliita Bunge DHAIFA la MAZUZU
Mazuzu Ndio waliomwajiri .Bunge ndio.liliidhinisha awe CAG huo u CAG ambao kutwa anaulilia ajira hiyo alipewa na Bunge .Raisi alimteua jina likapelekwa bungeni wakaidhinisha kuwa awe CAG.Leo anawatukana na kuwaita mazuzu hivi huyu akili kichwani ziko kweli?
Haivi na Raisi Magufuli haivi na Bunge hivi hapo.kuna mtu hapo? U CAG alipewa kwa bahati mbaya
 
We ni PIMBI toka lini CAG anaidhinishwa na bunge la maZUZU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…