Dogo umerudi tena na ujuha wako.
Tambua kwamba Prof Assad ni raia wa Tanzania kama wewe, na ni mlipa kodi kama wewe. Halafu kwanza Prof Assad sio size yako wewe
mzururaji wa buza usiekuwa na mbele wala nyuma, uliemshinda shetani na wafuasi wake, kutwa kucha kuzurura tu mitaa ya JF, huna mchongo kama kunguni mchana kutwa kazi ni kujaza server za JF na utopolo wako. Tafuta wengine size yako kuwakosoa kama kina
Magonjwa Mtambuka
Nikuamshe kichwa chako,
1) Prof Assad ni mlipa kodi kama raia wengine, hivo ana haki ya kuichambua taarifa ya CAG kuhusu matumizi ya hela za walipa kodi pale anapojisikia.
2) Ni mwalimu aliemfundisha maswala ya Uchumi CAG Kachere pale UDSM, ana haki ya kumtoa kasoro mwanafunzia wake (Japo katika speech yake hajamtoa kasoro yoyote ya kiutendaji CAG Kachere wala hajamponda, na siku zote huwa anasema katika Wanafunzi wake aliowasomesha wapo vizuri kichwani ni CAG Kachere).
3) Ameongea ukweli ili wananchi na taasisi aliokua akiongea nayo pale, wajue kipindi yeye ni CAG ni mambo gani alifanyiwa kama hujuma kwa Ofisi Ya CAG na TAIFA.
4) Kama Prof Assad kama raia mwema wa taifa lake, ana haki ya kumtoa kasoro Rais wa nchi yake pale anapomuona amekosea (Ili Marais Wengine wasirudie makosa yale).
5) Kipindi cha
Utawala wa Kikoloni & Utumwa (The Magufuli Era) hapakua na uhuru wa kumkosoa mkoloni wa chato wala kuikosoa serikali. Sasa ndio nafasi imepatikana ya kutoa sumu vifuani.
6) Hajawaita waandishi wa habari kuwaeleza hayo, wao ndio wamemtafuta katika hadhara zake.
7) Prof Assad ana kazi nyingi (lecturer, Advisor, Board Of Director) na mikataba mingi sana inayo muingizia hela zaidi ya mshahara wa CAG.
7) ACHA UJUHA WAKO, WEWE NA MAFISADI WANA CCM WENZAKO, TULIENI ILI DAWA IINGIE VIZURI, MKIPAPATIKA MTAUMIA!!!