Kwani Assad aliita vyombo vya habari kutaka awahutubie wananchi?
Wanahabari wanamfuata na kumwuliza mambo mbalimbali ambayo wanaamini yeye anayafahamu, wewe unataka asiwajibu?
Watu wakimfuata Kikwete kutaka kusikia maoni yako juu ya masuala ya uongozi wa nchi hii, mnataka asiseme lolote kwa sababu kuna Rais? Fikra za kijinga kabisa. Mbona Mwalimu Nyerere alitolea ufafanuzi wa mambo mengi wakati akiwa tayari ameng'atuka?
Kutaka watu wasiongee ndiyo primitivity yenyewe. Ni ushamba wa kuamini kuwa kuna watu wengine ni binadamu zaidi ya wengine, na hivyo ni hao tu wanaostahili kuongea, na wengine ni wa kusikiliza tu! Ujinga wa namna hiyo tusiukubali. Watu wawe na uhuru wa kutoa maoni yao. Kama watakuwa wamekosea, wapingwe au wasahihishwe kwa hoja zilizo sahihi, na siyo kwa kuwafunga midomo.
Hayati Rais Magufuli aliiharibu nchi kutaka kuiondoa kutoka kwenye ustaarabu wa mwanadamu, na kuipeleka kwenye animals kingdom, ambako mwenye maguvu huamua chochote, hata kumla asiye na nguvu.