Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
541
Reaction score
385
Habari wakuu,

Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju.

Polisi wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kauawa jana usiku na kuwa kwa mujibu wa polisi kakutwa na vipande vya risasi.

PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Daaanh sad news???!!!

Bunju ipi mkuu???!!
Nje au ndani ya nyumba yake??!!
Wamechukua chochote??!!

Mungu amrehemu!!!
 
Mmmh! Jamani naamini mauaji ha.ya yataweza kuwa na njama!

Mwenyenzi Mungu mwingi w.a Rehema na ampe pumziko la milele shambani mwake!
 
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojurikana nyumbani kwake Bunju police wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kuawa jana usiku na kuwa kwa mujibu wa police kakutwa na vipande vya risasi

Alikuwa udsm department gan?
 
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojurikana nyumbani kwake Bunju police wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kuawa jana usiku na kuwa kwa mujibu wa police kakutwa na vipande vya risasi

alale salama mzee wetu. Alijitahidi kutoa tongotongo za walimwengu. Mwenyezimungu amempenda zaidi yetu.
 
Daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

R I P ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

REST IN PEACE
 
Ni UTOTO kuhusisha Mauaji na CCM,Siasa za BEI RAHISI , Duniani kote Kunakotokea Mauaji ya Kihalifu ni CCM??? Je Maskini, Albino wanaouawa ni CCM??? AKILI NDOGO

Wewe bwana hujui kuwa viongozi wa ccm wanahusika mauaji ya albino? Wewe unaishi nje Tanzania
 
Back
Top Bottom