Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Now it is not Faculty, it's College, na hiyo College wameigawanya zimekuwa mbili, College of Humanity (COHU), and College of Social Science (COSS), Department of Political Science and Public administration inaangukia COSS, RIP Prof.

Thanks for information GAUTAMA ! Prof. taught us in the mid '80s. RIP Prof
 
RIP Prof... Alikua akiishi peke yake?? Hakuwa na Mlinzi hata?? Ikitokea amezidiwa ghafla usiku ingekuaje?
 
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojurikana nyumbani kwake Bunju police wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kuawa jana usiku na kuwa kwa mujibu wa police kakutwa na vipande vya risasi
pamoja na kutamkwa 'liviga' we umeamua kumpachika jina lako
 
Duuuuh naona huu ni utaratibu mpya wa kuendesha mambo nchini.R.I.P Prof
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.
 
Habari wakuu,
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju, polisi wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kauawa jana usiku na kuwa kwa mujibu wa polisi kakutwa na vipande vya risasi,
Ila na hii tabia ya maprof. kuishi singo sijajua kama ukiwa prof. automatically unapata ka laana kakuwa singo, ama ni kujua haki zaidi ya faragha kutokana na uprof. any way R.I.P Prof.
 
Another Professor has been short Dead in his Home Bunju.

Can someone help me here, what is all behind killings of UDSM proffessors?"

Dah Mkuu nisaidie kwenye red ulimaanisha shot au kama lilivyo?
 
msomi mkombozi wa jamii anapigwa risasi, kwanini!!

ameuwawa mvungi tumekaa kimya mpaka leo umesikia matokeo ya tume ya uchunguzi

so tarajia na hilii kuundiwa tume matokeo mungu akipenda
 
Lkn kwanini wanauwawa tu maproffessor tena kwa risasi?tatizo ni nini,wanatumia akili zao halafu wanaona zitawageuka xio?inatisha ,na sisa kuingia ktk jeshi la polisi,tena jeshi lisilokuwa na uwezo wa kiupelelezi,hawanaga majibu ya mauaji ya ndugu zetu wasomi wetu maproffesor,ni tatizo,ni jang hilo,kwa nini lkn?kwanini tusisema kuna wanaohisika humo ndani?
 
sijui na mimi nitakufaje!! maana...............!!
rip prof.
 
Back
Top Bottom