Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

R I P ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

REST IN PEACE

Katika matatitii wee namba moja!! Hv unataka kutuambia humu jamvini kuwa wewe unajitambua kuliko uliowataja? Mbona hata kwa kauli zako unajionesha wee ni zuzu wa mazuzuli? Cv zako hazjulikani uliowataja tunaelewa elimu zao bila kujali vyama vyao sasa wewe na uliyemshambulia nani hajitambui?
 
POLENI SANA WANAJUMUIYA YA CHUO KIKUU KWA KIFO CHA PRO.Athuman Livigha.

Kwa wale ambao hawa mfahamu huyu nguli wa masuala ya siasa ya jamii na utawala,

Alikuwa idara ya siasa na utawala kwenye school of arts zamani ilikuwa inaitwa Faculty of Arts pale chuo kikuu.

Na pia kuweka mambo sawa mleta mada amemuita Mavige lakini hilo sio jina lake halisi yeye alikuwa anaitwa Prof. Athuman Livigha au popularly tulikuwa tunamuita LIVIGA.

POLENI SANA.

Mimi ninasikitiswa na hawa wachangiaji ambao kila wanalowaza ni SIASA za CCM na CHADEMA, Hebu tuwaze mambo vizuri.

Mzee wa MSHEWA.
 
Very possible hasa kwa mwanafunzi anayesomeshwa na mwajiri kwa masharti ukifail unafukuzwa kazi, ( especially Phd level )
Wanafunzi hawana hasira naye? Labda majambazi ya kutumwa hayo...
 
Innalillah. Mwalimu wangu wa Local Government.
 
Ni livigha,,alikuwa department ya political science and public administration!!!R.I.P my prof

Alinifundisha pale UD na alikuwa anakamata . But why?????? mbona wimbi na wahadhiri kuuawa linaongezeka?
 
Personal thinking zisituburuze sana aliyesema ni CCM namwacha Lakini tujiulize wasomi wetu kwann wanuawa hasa maprof wa Sheria na Siasa why?
 
Daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

R I P ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

REST IN PEACE
danya ebu fikiria mburura huyo angepewa ujumbe bunge la katiba nini kingetokea, kweli wasomi hatuna.
 
Wauwawe tu sioni mchango wao kwa taifa angalia prf shivji mwandosya kapuya kwanini usiwaue wanazalilisha uprof.
 
Wewe bwana hujui kuwa viongozi wa ccm wanahusika mauaji ya albino? Wewe unaishi nje Tanzania
kweli kali mahakama ziko humu humu! si upeleke data hizo polisi? na wauaji sio viongozi ni wahalifu hao kama walivyo wahalifu wengine.
 
Back
Top Bottom