Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Watakuwa CCM tu hao maana hakuna baya lolote linalofanyika Tanzania hii bila kuwa na baraka za chama au mmoja wa kada wao
 
Ni UTOTO kuhusisha Mauaji na CCM,Siasa za BEI RAHISI , Duniani kote Kunakotokea Mauaji ya Kihalifu ni CCM??? Je Maskini, Albino wanaouawa ni CCM??? AKILI NDOGO
yah ccm ndo wanahusika ili wapate ubunge si unajua ccm wanaongoza kwa ushirikina mfano mzuri ni kile kibatari
 
Daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

R I P ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

REST IN PEACE

Bila kuingiza siasa za kuwataja wanasiasa unakuwa hujaandika?

Badilikieni kuweni critical
 
Prof Mwaikusa aliuwawa mpk leo hatujapata ripoti yake na sasa no Prof mwingne, nani yupo nyuma ya hay a mauaji?
 
Wauwawe tu sioni mchango wao kwa taifa angalia prf shivji mwandosya kapuya kwanini usiwaue wanazalilisha uprof.

Aah. This is ultimate callousness. How can you say that to a fellow human being? Did you know him?
 
Innalillah. Mwalimu wangu wa Local Government.
Nami pia kanifundisha Local Government na Contemporary politics in East Africa

Mungu Amlaze Mahala pema peponi
 
huyo professor ni rafiki ya kaka yangu alikuwa ana baa pale kwake lakini ana historia ya ugomvi na familia yake alishawahi tishia kuuwa mke wake kwa risasi wakaachana akaoa binti kwa hiyo kuna likelihood ya kuwa amejimaliza

Lakini inasemekana laptop, gari, na bastola vimepotea/ibiwa.
 
nimesoma kwenye guardian...na kwa kuwa ni mhadhiri wa political science na amefanya research nyingi zinazolenga kutetea maslahi ya wananchi...sintashangaa kusikia kifo chake kimehusishwa na jambo fulani
 
Another Professor has been short Dead in his Home Bunju.

Can someone help me here, what is all behind killings of UDSM proffessors?"

I REMEMBER IDD AMIN DADA.........:shut-mouth:
 
nimesoma kwenye guardian...na kwa kuwa ni mhadhiri wa political science na amefanya research nyingi zinazolenga kutetea maslahi ya wananchi...sintashangaa kusikia kifo chake kimehusishwa na jambo fulani
I REMEMBER IDD AMIN DADA.........:shut-mouth:
 
Daah!kwa usalama wangu na familia yangu,itabidi elimu yangu iishie hapa hapa.
Nilitaka niendelee zaidi lakini watu wanakufa tuu!
Sijui kwa nini!
 
Back
Top Bottom