Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Athuman Livigha, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nyumbani kwake, jijini Dar es Salaam.

Taarifa za kifo hicho zilithibitishwa na Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Rwekaza Mukandala, kwa njia ya simu


Profesa Mukandala alisema Profesa Livigha alikutwa na masaibu hayo akiwa nyumbani kwake Bunju, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia jana na kwamba, mwili wake umechukuliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.


“Ni kweli, na mimi hizo habari tumezipata na watu wote wamekwenda nyumbani kwake. Mwili umechukuliwa na polisi, tunasubiri taarifa kutoka polisi,” alisema Profesa Mukandala bila kufafanua zaidi.

Aliongeza: “Mimi nilikuwa mjini, wenzangu wamekwenda nyumbani kwake Bunju. Tumesikitishwa sana kwa kupotelewa na mwalimu wetu mwingine katika mazingira kama hayo.”

Profesa mwingine wa UDSM, Jwani Kwaikusa, aliuawa Julai, 2010 kwa kupigwa risasi na watu waliodaiwa kuwa ni majambazi.
 
RIP Professor, jaman JF itikadi zetu zisitufanye kuwa kama mahayawani, kwani siasa ni matusi na kukashifiana? mbona hao tunawaona mahasimu Mhe. Madam Spika Makinda na Mhe Tundu Lissu tushawaona wakilisakata mayenu pamoja baada ya kutoka kubishana kwa hoja kama wiki tu? ila huku kwa great thinkers ni matusi kejeli khaaaaa
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.
kwa akili hizi Tanzania tuna kazi!!!
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.

we kama huvuti bangi na viroba, basi umeajiriwa kufua chupi za Mbowe. Ccm inaingiaje hapo!
 
RIP Professor, jaman JF itikadi zetu zisitufanye kuwa kama mahayawani, kwani siasa ni matusi na kukashifiana? mbona hao tunawaona mahasimu Mhe. Madam Spika Makinda na Mhe Tundu Lissu tushawaona wakilisakata mayenu pamoja baada ya kutoka kubishana kwa hoja kama wiki tu? ila huku kwa great thinkers ni matusi kejeli khaaaaa

Good idea.
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.

Kuwa na staha kwenye mambo ya huzuni wewe unawka siasa zako za chuki
Una uhakika na uliyoyataja yanahusiana na kifo hiki
 
First try to differentiate between shot and short. Then kindly please elaborate your statement....who is this prof...when did this happen or put down your source for others to make a follow up.

To make it clear: The name should be Athumani Juma Livigha
University of Dar es Salaam senior lecturer Professor Athumani Juma Livigha, a widely acclaimed Tanzania specialist in political science, is dead.

Police and other sources confirmed yesterday that he was gunned down on Monday night at his Bunju B residence on the northern outskirts of Dar es Salaam by assailants whose identity is yet to be established.

Kinondoni Acting Regional Police Commissioner Assistant Commissioner of Police Fedoyeka Thobias confirmed the incident in an interview with The Guardian.
He said that the professor, who was living alone, was found dead at his residence by his gardener who had reported there in the morning for his daily duties.

Thobias said the body of the deceased was preserved at the Muhimbili National Hospital and police had begun investigating the incident.

One of the deceased’s relatives said that the assailants vanished with the professor’s car, a GX 110, as well as a pistol and a laptop.
University of Dar es Salaam Vice Chancellor Prof Rwekaza Mukandala also confirmed having heard about the death.

“I have also been informed that Prof Liviga has been shot dead at his home in Mabwepandwe (in the Bunju suburb). However, I don’t have any more details. We are waiting for our officials who have gone to the deceased’s home,” he noted, adding that police were already working on the incident.

The professor had extensive knowledge and experience in public policy analysis, local government, governance, human resource development and institutional development.
He boasted more than 15 years’ experience in teaching, research and consultancy.

One of the works he authored is “The APRM Process in Tanzania: Setting the Governance Agenda”, a November 2013 publication produced under the Africa Governance Monitoring and Advocacy Project (AfriMAP).

AfriMAP is an initiative of the Open Society Foundations (OSF) and works with national civil society organisations to conduct systematic audits of government performance in three areas: the justice sector and the rule of law; political participation and democracy; and effective delivery of public services.

As well as conducting reviews of the APRM (African Peer Review Mechanism) processes, OSF assess electoral management bodies and the role of state broadcasters in Africa.

According to an abstract to the professor’s book, OSF “seek to build vibrant and tolerant democracies whose governments are accountable to their citizens”.
Further, it seeks to shape public policies that ensure greater fairness in political, legal and economic systems and safeguard fundamental rights.

On a local level, the Open Society Foundations implement a range of initiatives to advance justice, education, public health and independent media.

They also build alliances across borders and continents on issues such as corruption and freedom of information, placing a high priority on protecting and improving the lives of people in marginalised communities.

Prof Livigha’s publication is a report that critically assesses implementation of the APRM process in Tanzania in order to establish the extent to which it complied with principles and criteria contained in the APRM founding documents.
In particular, the assessment examines the extent to which the process was open, participatory, transparent and independent. Tanzania acceded to the APRM in 2004, becoming the fourteenth country to do so.

The assessment is part of a series jointly commissioned by AfriMAP and OSF’s Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA).

Similar reports have been published on Algeria, Benin, Burkina Faso, Ghana, Kenya, Mali, Mauritius, Mozambique, Nigeria, Rwanda, South Africa and Uganda.
The report is based on a review of the process documents, media reports and interviews with people involved in the process as participants or experts.

A renowned lawyer and long-serving University of Dar es Salaam senior lecturer, Prof Jwani Timothy Mwaikusa, was shot dead at his Salasala residence in suburban Dar es Salaam alongside two other people, one said to be a nephew of his and the other a neighbour. R.I.P Prof. Livigha wanasongea/Namtumbo na wasomi tutakukumbuka sana.

source: www.ippmedia.com via The Guardian.
 

Attachments

  • Athumani-Luvigha--October1-2014.jpg
    Athumani-Luvigha--October1-2014.jpg
    7.3 KB · Views: 457
Ni livigha,,alikuwa department ya political science and public administration!!!R.I.P my prof

political!!!!!!????? (ni muda wa sekeseke la katiba)

Mungu amlaze anapostahili
 
Kuwa na staha kwenye mambo ya huzuni wewe unawka siasa zako za chuki
Una uhakika na uliyoyataja yanahusiana na kifo hiki

kwani ni uongo kuwa dr. mvungi aliuliwa na CCM kwasababu ndiyo alikuwa mwanasheria wa Mgimwa aliyekuwa waziri wa fedha ambaye mtoto wake alihongwa ubunge ili anyamaze...
kwani ni uongokuwa Dr. Ulimboka alipigwa na kungolewa meno na CCM...
bisha niendelee...CCM ni chama cha wauwaji..
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.
Ninahisi hasira ya !ungu inawaka juu ya hicho chama ndo sababu kuna majanga kila kona!!si unajua saa nyingine baba akikosea watoto ndo wanapata shida!!?Tuendelee kufanya toba juu ya nguvu ya damu naamini Mungu ndie aturehemu
 
Katika matatitii wee namba moja!! Hv unataka kutuambia humu jamvini kuwa wewe unajitambua kuliko uliowataja? Mbona hata kwa kauli zako unajionesha wee ni zuzu wa mazuzuli? Cv zako hazjulikani uliowataja tunaelewa elimu zao bila kujali vyama vyao sasa wewe na uliyemshambulia nani hajitambui?

Siwezi kubishana na ww ambae wazi wazi unaonekana ni mshabiki wa siasa hata kwenye upenzi wa siasa haupo wala uwana chama haupoo so... endelea mawazo yako.kwenye msiba ulete mambo yako ya kisiasa kila sehemu sawa kwa mkeo pia ukapeleke mambo ya siasa sawa kote we apply siasa maana ndo chakula chako
 
Hiyo kweli ni hatari sana, sasa Tanzania inageuka nchi ya kihalifu kama south Africa. Maana matukio ya kuuana yashazoeleka sasa.
Habari wakuu,
Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju, polisi wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kauawa jana usiku na kuwa kwa mujibu wa polisi kakutwa na vipande vya risasi,
 
daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

r i p ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

rest in peace

huyo professor ni rafiki ya kaka yangu alikuwa ana baa pale kwake lakini ana historia ya ugomvi na familia yake alishawahi tishia kuuwa mke wake kwa risasi wakaachana akaoa binti kwa hiyo kuna likelihood ya kuwa amejimaliza
 
huyo professor ni rafiki ya kaka yangu alikuwa ana baa pale kwake lakini ana historia ya ugomvi na familia yake alishawahi tishia kuuwa mke wake kwa risasi wakaachana akaoa binti kwa hiyo kuna likelihood ya kuwa amejimaliza

Sasa mdada bila kufikilia mtu ananza kusema eti hii ni siasa kweli? Hii nchi vijana wengi ndo tuna angamia kwa kukosa maarifa hebu jaribu kuwaambia labda wata elewa hao dada angu wengine kama topic ya probability hawakusoma mtu kote aliko toka anakuja na sure event eti siasa hiyoo uwiiii
Thankx rihana
 
Back
Top Bottom