Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

R.I.P Livigha nakumbuka unanipigia kitu PS: Local Government in Tanzania Yombo LT 3. daah pole wanafamilia na wana Udsm wote.
 
dah...Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun

mkuu nipo nawewe na si vijana wanaotaja taja ccm nawengine wanatukana kwa kutajwa ccm tumuombee mwenzetu akapumzike nasi vinginevyo.
 
dah...Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun

mkuu nipo pamoja naww nasi hawavijana wanao tajataja ccm nawengine kutukana kisha chama kimetajwa chama,tunatakiwa kumuombea mwenzetu apumzike kwa salama.
 
R.I.P Livigha nakumbuka
unanipigia kitu PS: Local Government in Tanzania Yombo LT 3. daah pole
wanafamilia na wana Udsm wote.
daaah wewe kajamaa kumbe ni Ngwini?? vp michongo lakini? maa ngwini mlivo wengi ni soo siku hizi kwenye soko la ajira
 
Mpaka tunafika 2015 watu wanaoonekana kutounga mkono serikali aidha kwa kusema au kufikiri watakuwa wanasemekana kuuawa na watu wasio julikana,kumbukeni prof.mwakyusa pia!....jaman
 
Daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

R I P ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

REST IN PEACE

Malimbuken wa siasa utawajua tu haumiz akil yake yy anaropokwa tu,ndo waliojazwa sumu a uongo hata hawasumbul utafta ukwel,poor pro CDM
 
Haa R.I.P Professor ooh nakumbuka kutumia material yake mengi /article zake yingi wakati nasoma. what happened jamani Tanzania mauaji yamezidi!
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.

Mbona. Watu mnapenda kuropoka Sana kila kitu ccm hebu tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake
 
stress za ndoa. miezi kadhaa alitalikiana na mkewe.

Ina maana ni suicide?

Taarifa zilisema "ameuawa" Ina maana walitoa taarifa bila kufanya upelelezi wa awali?

Njia sahihi ya kutoa taarifa kama hii ingekuwa "amekutwa akiwa amekufa"
 
Haa R.I.P Professor ooh nakumbuka kutumia material yake mengi /article zake yingi wakati nasoma. what happened jamani Tanzania mauaji yamezidi!

kawaulize chama CC.EMU kwanini mnatuua.!
 
Mungu amlaze mahala pema..... nakumbuka alinitesa sana kwenye ps flani hivi.

Hahaaaa.....i remember.....ni ile ya democracy is not a state or condition but is a system of governance..... hahaaa........Alitutesa jamani halafu alikuwa so strict and critical ......May his soul Rest in Eternal Peace, Amen....
 
stress za ndoa. miezi kadhaa alitalikiana na mkewe.

Kwani kajiua?? Halafu Liviga nimjuaye sidhani kama ni mtu wa kushikwa na stress eti kisa ni mwanamke.....no way ....

Mods rekebisheni title pia jina lake ni Athumani Liviga
 
Personal thinking zisituburuze sana aliyesema ni CCM namwacha Lakini tujiulize wasomi wetu kwann wanuawa hasa maprof wa Sheria na Siasa why?

Its true niliwahi kumlalamikia mzee moja akaniambia kwasababu wanasheria na hao maprof wa siasa wana viherehere kwahyo they are to be silenced wataenda fundisha udongo siasa safi
 
Kwani kajiua?? Halafu Liviga nimjuaye sidhani kama ni mtu wa kushikwa na stress eti kisa ni mwanamke.....no way ....

Mods rekebisheni title pia jina lake ni Athumani Liviga

Mkuu stress haina Liviga au profesa au nani......humshika kila mtu,pengine ulimjua nje tu kwa picha aliyotaka uione ila ndani ni mtu binafsi...huwezi iona...
 
Back
Top Bottom