Profesa Chameleone anunua gari lenye thamani ya bilioni kadhaa!

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Mwanamziki nguli wa Afrika bwana Chameleone amenunua gari la kifahari pengine kuliko wanamziki wote BARANI AFRIKA, GARI HILO LIMETOKA KIWANDANI LIKIWA NI BRAND SPECIAL YA JINA LAKE

 

Attachments

  • chameleone car.jpg
    129.3 KB · Views: 3,915
hahahah kwahiyo kununua gari la gharama ndo kujua nini maana ya usanii....basi chuo cha sanaa bagamoyo wengi hawajui maana ya usanii!hahahhah wewe utakuwa mmakonde tu!

Aaah acha hizo wewe, kabila la watu hilo shauri yako. Mi simo hapo.
Uelewe wewe anajua maana ya usanii kazichuma kutoka kwenye usanii hata kama ana biashara zake.
Ndio maana nimesema hivyo sawa muuza sura.
 
Mkuu acha kuchekesha hiyo gari ni Cadillac Escalade ata msanii wa Uganda Bob Wine anayo na alinunua kwa pesa zaidi ya million 900 uganda shillings.

Money Stunna ni shidaaaaa hivi hizi habari zote unazijua ni kwamba unshinda kwenye blogs na magazeti masaa 24 au, nahisi ukujikita kidogo zaidi utakua ni zaidi ya millard ayo labda upande wa sauti tu
 
[h=1]Chameleone na Bobi Wine wazijutia Cadillac Escalades zao[/h] Kitendo cha wanamuziki matajiri wa Uganda, Jose Chameleone na Bobi Wine cha kutaka kuonesha ufahari wa kumiliki magari yenye gharama ya Cadillac Escalades kimeanza kuwaponza.
Habari kutoka kwenye mamlaka ya mapato nchini Uganda, (URA) zinadai kuwa magari hayo yalithaminiwa chini ya kiwango stahili ambapo Escalade ya Jose Chameleone model ya mwaka 2004 ililipishwa ushuru sawa na Toyota TX Prado, wakati ya Bobi Wine, Escalade model ya mwaka 2000 ililipishwa kama Toyota Ipsum.

Magari yao yalithaminishwa chini ya kiwango kabla ya ukaguzi wa maofisa wa URA, licha ya wao kuzungumza mbele ya waandishi wa habari kuwa gari ya Chameleone ilinunuliwa kwa shilingi milioni 200 za Uganda na ya Bobi Wine shilingi milioni 300.
Vyanzo vinasema ni ngumu kwa wasanii hao kuukwepa mtihani huu mgumu unaozikabili gar izao.
 
hahahah kwahiyo kununua gari la gharama ndo kujua nini maana ya usanii....basi chuo cha sanaa bagamoyo wengi hawajui maana ya usanii!hahahhah wewe utakuwa mmakonde tu!

Muuza Sura unapiga za chembe taratibu mkuu, mtoto wa migomigo huyo
 
Last edited by a moderator:
Gari ya kawaida mnayo??? wabongo bana ndo maana hatubarikiwi kwa roho za korosho.. ajabu nini kumsifia kutokana na kazi yake angeiba mngemsema pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…