Profesa Chameleone anunua gari lenye thamani ya bilioni kadhaa!

Je na wewe tukuite chogo? Pamoja na kuvaa kwako mawigi lakini wengine tunakijuwa kichwa chako kipo kama cha Baba Chupaki.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk

Yeye mwenyewe hujiita domo hata kama ningekua na kichwa kama cha samterela shida iko wapiii hahahhhhaha siku watu kama nyie hamnishituiiii kabisaa
 
Hivi ni prof wa nini kweli huyu chameleone?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
halafu hilo gari kalinunua mwaka 2010..leo ndo limekuwa topic humu!!
 
Escalade ni gari ya kawaida sana. Hiyo pimp iliyopigwa na majina kubandikwa hata bongo pale lumumba unafanyiwa.

You've nailed it bro. Tena Ukizingatia escalade yenyewe kwenye picha ni old model.
Hakika ukanda huu wa dunia celebs wetu wanahitaji kuelimishwa kuhusu magari. Wakipata muda waende na kuspend japo weekend moja kule Ocean Avenue, south beach, Hollywood Boulevard, in Hollywood au Vegas strip. Labda baada ya hapo hawatakuja kutupigia kelele mjini na huu ujinga wa Escalade na Jeeps
 
Profesa kamilioni? Dr nchimbi, dr kikw.ete, profesa maji marefu, list goes on...
 
Jitihada na nizamu katika kazi huleta mafanikio na maendeleo, ila uzembe na uvivu huleta umaskini,majungu na maafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…