Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Wengine wivu tu ukoo mzima hamna gari ka hilo then mnaponda,dah roho hizi
Sent from Nokla using Jf app
Sent from Nokla using Jf app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama si ya kawaida, lazima tuwe wakweli unaposema hili gari thamani yake ni Billioni!! Huo si ukweli, hiyo siyo thamani ya hilo gari.... na tunasema la kawaida kwa sababu there is nothing special with it ambacho hatukioni kila siku hapa mjini, it doesnt matter if we can afford it or not... the point there it's not worth A Billion and it is nothing special...
B ya UG ni sh ngap ya tz? Inaweza kuwa m20 eh, kwa ukata huu hata ya above 50m ni gari kali kwangu despite kweli au sio kweli! Big up lwa huyo jamaa kumbe mziki deal mweee
namiliki kijigari mkweche kimoja kinaitwa Nissan Murano walau kinanisaidia shughuli zangu za kufika shambani mkuu. kinanitosha walau sihitaji Escalade, Cardilac wala Lamborghinimkuu wewe unamiliki gari aina gani kwakuwa umesema 150m ni gari lakawaida yani kwa thamani
Good point!Hata kama si ya kawaida, lazima tuwe wakweli unaposema hili gari thamani yake ni Billioni!! Huo si ukweli, hiyo siyo thamani ya hilo gari.... na tunasema la kawaida kwa sababu there is nothing special with it ambacho hatukioni kila siku hapa mjini, it doesnt matter if we can afford it or not... the point there it's not worth A Billion and it is nothing special...
Escalade kumbe inatumika kama uber piaYou've nailed it bro. Tena Ukizingatia escalade yenyewe kwenye picha ni old model.
Hakika ukanda huu wa dunia celebs wetu wanahitaji kuelimishwa kuhusu magari. Wakipata muda waende na kuspend japo weekend moja kule Ocean Avenue, south beach, Hollywood Boulevard, in Hollywood au Vegas strip. Labda baada ya hapo hawatakuja kutupigia kelele mjini na huu ujinga wa Escalade na Jeeps
Tofauti na DomoKatishaaaa huyu ndio anajua maana ya usanii, hongera zake.
kumbe mlianza zamani roho mbayaEscalade ni gari ya kawaida sana. Hiyo pimp iliyopigwa na majina kubandikwa hata bongo pale lumumba unafanyiwa.
Kwa hiyo wengine hawajui maana ya usaniii??Katishaaaa huyu ndio anajua maana ya usanii, hongera zake.
Kwani kusema gari hiyo ni yakawaida ni dhambi??. Kwani ni tusi?.Gari ya kawaida mnayo??? wabongo bana ndo maana hatubarikiwi kwa roho za korosho.. ajabu nini kumsifia kutokana na kazi yake angeiba mngemsema pia.