Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo uliopo Tanzania ni kwa sababu ya watu kuacha kutoa maoni.
Watekelezaji wa maoni wako wapi?Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo uliopo Tanzania ni kwa sababu ya watu kuacha kutoa maoni.
Kama watu walitumia nguvu hawajasikilizwa ndio Ije kuwa hayo maoniWatekelezaji wa maoni wako wapi?
Yeye mwenyewe ndo namsikia leo akisema watu hawatoi maoni. Mbona yeye hajawai kutoa hayo maoni. Hawa ndo wasomi wa jalalani alikotoka mwenzao yule, zamani alikuwa mtoa maoni mzuri lakini leo amekuwa mtu wa hovyo sanaAache kuzunguka, watu hawajawa wazito kutoa maoni, gharama ya kutoa maoni imekuwa kubwa, sio kila mtu anaweza kuilipa
Uhuru baada ya kutoa maoni haupo...Aache kuzunguka, watu hawajawa wazito kutoa maoni, gharama ya kutoa maoni imekuwa kubwa, sio kila mtu anaweza kuilipa
Ndio alitakiwa aseme hivyo... sio kujifanya haoni litembo lililopo juu ya mezaUhuru baada ya kutoa maoni haupo...