TANZIA Profesa George Shumbusho afariki dunia

TANZIA Profesa George Shumbusho afariki dunia

Vijana na watoto ni cariazi wa changamoto hii...jitenge nao otherwise wafwaaa....mzee mwenzangu!!

Wenyewe hawafi...we umeshaskia katoto kamelazwa ati kanaomba oxygen ili kapumue?
Mzee mwenzangu nimeliona hili watoto na vijana hawabanwi pumzi kabisa!

Wanajazana lecture halls, na mabwenini wapo wanadunda hawapigi hata chafya.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, George Shumbusho amefariki dunia leo Jumatano Februari 24, 2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Profesa Ganka Nyamsogoro ambaye ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo hicho amesema Profesa Shumbusho aliyekuwa Rais wa Ndaki ya Mbeya, amefariki saa 6:30 mchana.

Profesa Honest Ngowi, Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam (MUDCC) amesema Taifa limepoteza msomi katika lugha ya mawasiliano aliyebobea kwa miaka mingi.

“Alinifundisha shahada yangu ya kwanza Mzumbe miaka ya 1990, baadaye tumeendelea kuwa pamoja Mzumbe na yeye akapelekwa kuwa Rasi wa Mzumbe Mbeya na mimi nikaletwa Dar es Salaam, lakini kwa ujumla alikuwa makini, mtafiti mzuri sana, ni majonzi na Taifa limepoteza mtu muhimu,” amesema.


Chanzo: Mwananchi
Na yeye nini tena,?
 
Baba wakwe zetu watalajiwa mbona wanaisha hivi? Hawa ndo tunategemea watutolee mahari za watoto zao ( wachumba zetu) sasa inakuwaje?

Pole wafiwa.
 
Back
Top Bottom