Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?

kwani Jaji mkuu yeye hakujua hilo? na swali ni je? Jaji Mkuu ambaye pia ni jaji wa rufaa anahusika na kifungu cha 120(3)? na Je, Mugasha hakukiona hicho kifungu kweli? ninavyomjua Mugasha ana uwezo mkubwa sana na anajua anachoongea.
Tatizo mlisema CJ anayefuata ni mwanamke huenda Jaji Stella Mugasha anajipigia chapuo aongoze hata hii miaka 3 kabla ya kustaafu
 
Duh. Huku nako kuna issue kukosa ukomo?
 
Tatizo mlisema CJ anayefuata ni mwanamke huenda Jaji Stella Mugasha anajipigia chapuo aongoze hata hii miaka 3 kabla ya kustaafu
anajua kuwa baada ya kutoa waraka huo asingeteuliwa kabisa. na sidhani kama Mh Rais atafanay kosa hilo kwamba mihimili yoote iwe na wanawake kama wakuu wakati anajua uchaguzi upo karibu.
 
Pamoja na kwamba CJ ni Jaji wa rufani na hukaa pia kwenye benchi la majaji wa rufani kuamua kesi, anatakiwa kukoma kuwa Jaji Mkuu akifikisha miaka 65, ila anaweza kuendelea kuwa Jaji wa rufani kama Rais ataamua kumwongezea miaka kuwa jaji wa rufani wa kawaida, ila sio CJ.
 
anajua kuwa baada ya kutoa waraka huo asingeteuliwa kabisa. na sidhani kama Mh Rais atafanay kosa hilo kwamba mihimili yoote iwe na wanawake kama wakuu wakati anajua uchaguzi upo karibu.
Huoni kwamba huenda ni Wapinzani wake wamefoji huo waraka ili kumharibia? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nchi hii katiba ipo chini ya miguu ya watawatala!! Over
 
Nivyema amefanya Jaji Prof yupo vizuri. Hongera zake.
 
lord atkin huu waraka nilikuwa sijausoma. Nilipousoma mchana huu, nimeenda mbali mno na kuwaza mambo mengi sana. Ila Mama Mugasha katimiza wajibu wake vizuri, mimi binafsi namuombea ulinzi na maisha marefu. Baada ya hili gharika kupita na bahari kutulia nadhani kuna somo kubwa nchi ya Tanzania itakuwa imejifunza.
 
Bi.Mchele anatafuta Mzanzibari mwenzake hasa Mwanamama ambaye atakuwa submissive kwake kama ambavyo ameweza kuweka Spika wa Bunge ambaye ni submissive kwake.
Rostam jama kutambia kuwa Majaji Huwa wanapigiwa simu na wakubwa serikalini Ili kuzima mambo!
 
Ikumbukwe pia Jaji Mkuu ni ndugu katika Imani ya mnyaazi Mungu!
 
Hivyo vifungu umenukuu vinamhusu Jaji Mkuu?
Jaji mkuu ni cheo cha kimadaraka. Anayeongezewa muda ni JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI. Kwa kuongezewa hapo, maana yake anaendelea na uJaji mkuu wake.

Shida mnatumia makalio kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…