Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?

Wewe naona hata huelewi ulichosoma. Ibara 118 na hii uliyoweka hapa, ni tofauti.
Wewe ndio huelewi. Ibara hiyo inaeleza ukomo wa kuwa JAJI MKUU, lkn ibara za Mbele zinaeleza namna ya kuongeza muda wa majaji hao hao.
 
Nivyema amefanya Jaji Prof yupo vizuri. Hongera zake.
Jaji Mkuu ni bora arudi nyumbani kupumzika ili kupisha kiti kwa mwingine
Prof. Ibrahimu Juma ndiye Jaji Mkuu pekee ambaye ameyumbisha sana mfo wa Mahakama hapa nchini. Hukumu za Kesi zilikuwa zinaandaliwa na viongozi wa CCM kwenye ofisi zao za vyama vya siasa, Hakimu au Jaji alikuwa anapewa tu nakala ya hilumu ili akaisome Mahakamani, hususani wakati ule wa utawala wa mwendazake.
Mpaka sasa Mahakama zrtu haziaminiki kabisa kwa sababu ya huyu Jaji Mkuu.
 
A Courageous, brave, lady of integrity and truthful in the eyes of god. Mama Mugasha ni chaguo tosha kwa Jaji Mkuu wa Tanzania ajaye.
 
Sasa hii inaweza kuwa NEPOTISM ya Mwaka …. Jaji mkuu amekubalijee kujidhalilisha namna hiii ; si arudi tu kwake Bwejuuu akale Ustaafu
No wonder wakati wa Magu alikua mtu wa kulamba Miguuuu
 
Huoni kwamba huenda ni Wapinzani wake wamefoji huo waraka ili kumharibia? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
of course, kuna uwezekano huo mkubwa, kwasababu kwa historia ya mahakama, haijawahi kutokea mtu akaandika waraka wa kisiasa namna hii mahakamani.
 
Prof Juma sio JAJI WA RUFANI?
Una akili kichwani wewe?
Prof Juma akiwa Jaji Mkuu hivyo hivyo nimeshappear mbele yake akiwa kwenye jopo la majaji wa Mahakama ya rufaa. Pamoja na kwamba yeye ni CJ ila pia ni Jaji wa Mahakama ya rufaa na anaendesha kesi za mahakama ya rufaa.
 
Wewe unamatatizo huko kwa kichwa chako,mwisho wa siku utaniuliza waziri mkuu sio mbunge!? Wakati kipengere kinaongelea waziri mkuu wewe unaleta hoja za mbunge,sisi tunaongerea jaji mkuu wewe unaongelea jaji wa mahakama tarufani
Sio shida zetu.
 
tofautisha vitu viwili, Jaji wa Mahakama ya rufaa, na Jaji Mkuu. hao wana vifungu viwili tofauti kwenye katiba. wa rufaa anaweza kuongezea muda kuendesha mashauri ya rufaa ila CJ hakuna ibara inayosema anaweza kuongezewa muda.
Wajuvi wa sheria wamemaliza hapo juuz wewe hujui lolote kiongozi, wewe na mimi ni Mambugila tu.
 
Jaji mkuu ni jaji wa mahakama ya rufani pia hivyo ipo applicable kwake.
kwahiyo ipo applicable kwake kuwa jaji wa mahakama ya rufaa, au ipo applicable kwake kuwa CJ, wakati kwenye katiba hizo ni ibara mbili tofauti.
 
Wajuvi wa sheria wamemaliza hapo juuz wewe hujui lolote kiongozi, wewe na mimi ni Mambugila tu.
sasa kapuku kama wewe utabishana na mimi? ibara ya 118 inaweka ukomo kwa CJ. na ibara ya 120 inaeleza kwamba Jaji wa CAT anaweza kuongezewa muda. kwa akili yako unaona vinaongea lugha moja? kuwa CJ na kuwa JA ni kitu kimoja? kwani majaji wa rufaa wote ni maCJ?
 
hoja ni kwamba, ukweli ni kwamba Jaji Mkuu ni Jaji wa Mahakama ya rufaa, anaendesha mashauri ya Mahakama ya rufaa, na chini ya ibara ya 120 anaweza kuongezewa muda kuendelea kuendesha mashauri ya Mahakama ya rufaa. However, CJ kama cheo cha ziada nje ya kile cha Jaji wa Mahakama ya rufaa, ni kitu distinct kabisa na kimewekewa ukomo kwenye kifungu cha 118. that means, akifika miaka 65 kama anaongezewa muda anatakiwa kuendelea kuendesha mashauri ya Mahakama ya rufaa tu ila sio CJ tena. hakuna ibara inayosema anaweza kuongezewa uCJ as uCJ.
 
Kiongozi, JAJI MKUU anatoka kwenye kundi la MAJAJI. Utumishi wake unatambulika kutokana na ujaji wake, hivyo kama ameongezewa muda kama JAJI, basi anaendelea kuwa JAJI MKUU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…