Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?

Ina maana Undergraduate wa OUT hawezi kuwa Judge kama atatimiza masharti yaliyowekwa na Katiba?
Labda nimekunukuu vibaya, naomba unielezee kidogo ndugu DATAZ.
Sharti la kuwa jaji uwe na Sifa za kuwa wakili wa Mahakama kuu, sasa undergraduate unapata wapi hizo sifa
 
wazee hawataki kustaafu, Mahakamani kuna wazee wengi umri umefika wa kustaafu lakini wapo tu,
sasa vijana watapata nafasi kweli?!

Kama mahakama inavjichanganya yenyewe na kutofautina hii ni picha gani?!


nashauri umri wa kustaafumMajaji upunguzwe uwe miaka 55
 
Kiongozi, JAJI MKUU anatoka kwenye kundi la MAJAJI. Utumishi wake unatambulika kutokana na ujaji wake, hivyo kama ameongezewa muda kama JAJI, basi anaendelea kuwa JAJI MKUU.
hiyo inakuja automatically au kwa mujibu wa katiba inayomuunda? ibara ya 118 na ibara ya 120 zinaongea kitu kimoja? Majaji wote wa Mahakama ya rufaa ni maCJ? though CJ ni Jaji wa Mahakama ya rufaa. cheo cha CJ ni tofauti na cheo cha kuwa jaji wa mahakama ya rufaa. though, vyovyote itakavyokuwa, kwangu mimi sioni shida kwasababu na najua wataleta maelezo kama ya kwako ili wasionekane wamekosea. ila ukisoma uwe waraka, una mashiko sana.
 
Asking for a friend in the village.
Je huyo jaji aliyeongezewa muda amekubali?
Je huyo jaji ameisoma na kuielewa katiba?
Je huyo jaji Ni kipi ambacho alikua hajakifanya akiwa madarakani kihalali anataka akifanye kipindi hiki Cha michongo???
I rest my case.
 
Katiba yetu Rais ana mamlaka yote ispokuwa kutoa roho ya raia wake tu.
 
Ungetumia nguvu nyingi kudai katiba Mpya
 
Anaitwa JUMA🤣🤣🤣
 
Chifu Hangaya ni mwanademokrasia haswa.....

Haya yasingetokea kwa Rais mbabe.......


ADUMU CHIFU HANGAYA AMEN[emoji120]
 
Kaharufu kaudini kapi ?!!!

Fafanua tuelewe
 

Kama kuna mtu bado jajaelewa Kwa Maelezo haya huyo mtu kwenye ubongo wake kutakuwa na matope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…