Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?


Kaeleza ukweli na naamini ni watanganyika wachache sana wanaweza kuwa na chuki naye .
Wengi watamsifu Kwa kueleza ukweli huo .
Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki
 
Kwa mara ya kwanza ya Historia ya Tanzania, Jaji amemshutumu wazi wazi Rais kuvunja Katiba.

Hii ni dalili mbaya sana kwa mustakabali wa Utawala Bora na utii kwa Katiba.

Nina maswali mawili
  1. Je Mhe. Jaji ametimiza wajibu wake wa ulinzi na utii kwa Katiba?
  2. Je Mhe. Rais wa JMT anaweza kufanya atakavyo hata kama kuna changamoto ya kikatiba kwenye maamuzi yake?
Tusishabikie upande bali tusimamie uhalisia kwa afya ya Katiba, Sheria na Mamlaka
 
Jaji mkuu ni cheo cha kimadaraka. Anayeongezewa muda ni JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI. Kwa kuongezewa hapo, maana yake anaendelea na uJaji mkuu wake.

Shida mnatumia makalio kufikiri.
Hata hujasoma andiko lote la huyo mama. Ungesoma usingeandika hicho ulichoandika.

Shida ya Watanzania ku comment bila kusoma.
 
rais ana mamlaka ya kikatiba kumuongezea muda na kaishafanya hivyo
 
Kiongozi, JAJI MKUU anatoka kwenye kundi la MAJAJI. Utumishi wake unatambulika kutokana na ujaji wake, hivyo kama ameongezewa muda kama JAJI, basi anaendelea kuwa JAJI MKUU.
Soma huo wakala wa huyo Jaji utaelewa ukweli. Katoa mpaka historia ya hivyo vifungu.

Ukiwa JM mwisho 65 na imependekezwa Wala Hata usiongezewe muda Kama Jaji wa mahakama kuu ya rufani
 
Kuna msemo UNASEMA HIVI" Mchungaji akisema NG'OMBE kafia machungani, ATAKUWA kafa kweli".jaji ni mchungaji na katiba ni
 
Majaji WAHAYA siku zote wamenyooka. Nakumbuka;

1: Jaji RUGAKINGILA (hayati)
2: Jaji RUMANYIKA na dhani yuko Mwanza Mfawidhi
3: Jaji Mugasha, ambaye amekinukisha

Haya majaji wameweka historia kusimamia sheria na Katiba bila woga. Tupaze sauti Prof Juma asitaafu. Tusiendekeze njaa za watu za matumbo na vyeo.

Angalia watangulizi wao
1: Jaji Augustino (hayati) hakupitisha hata siku moja. Aliheshimu Katiba
2: Jaji Chande, ndo aliyemwachia ofisi aliheshimu katiba pia.

Sasa mtu unavunja katiba alafu unasimamia mhimili unaotafusiri sheria na Katiba. Ovyo achia ofs ya umma kalee wajukuu nyumban
 
Kaeleza ukweli na naamini ni watanganyika wachache sana wanaweza kuwa na chuki naye .
Wengi watamsifu Kwa kueleza ukweli huo .
Mwenyezi Mungu aendelee kumbariki
Ni wakati sahihi sasa kwa Prof. Juma kujiondoa ofisini ili kuondokana na mgogoro huu wa kikatiba usio na sababu za msingi.

Ni wakati sahihi pia kwa Mwanasheria Mkuu kujiondoa mwenyewe ofisini kwa kushindwa kumshauri vizuri Rais na kumfanya afanye kituko cha karne ambacho hakijawahi kufanywa na yeyote.

Kwa mujibu wa andiko la Jaji Mugasha, nadhani nitakuwa sahihi nikisema kwamba kwa sasa hatuna Jaji Mkuu na chochote kitakachofanywa na Hon. Prof. Juma katika kwa mamlaka ya Jaji Mkuu ni batili.
 
Jaji mkuu ni jaji wa mahakama ya rufani pia hivyo ipo applicable kwake.
Suala muda mrefu tangu 2007. Tafsiri ilishatolewa kuwa Jaji Mkuu atastaafu baada ya kutimiza umri wa miaka 65 na haipendezi kuongezewa muda na kubaki kama Jaji wa Rufani.
 
Jaji anae fata atakua ana itwa abdulahman swalehe bin mutraki kutoka kule
Kwani shida ni nini?? Mradi si mtanzania,kwani hawana haki ua kushika madaraka?? Mbona hizi hisia hazikuwepo wanapotawala wa upande wa kikristo??magufuli ameteua baraza zima waislamu wawili tu mbona hakuna mtu aliyejitokeza kuhoji udini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…