Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni habari mbaya kwa ACT wazalendo.
Lipumba amesoma alama za nyakati na kuamua kwenda na upepo unapovuma.
Kisiasa tunasema ameamua kuzichanga karata zake upya.
masikini hana kiapoAtakayemwamini huyu mtu akapimwe Mirembe.
MPUUZI KABISA, KAIUA CUF ndo leo anataka hivyo.....Propesa LIPUMBAVU......Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumamosi tarehe 12 Februari, 2022 amesema nafasi yake iko wazi…
"Natoa wito na kuwahakikishia wanachama kwamba, hii nafasi ya mwenyekiti iko wazi kwenye uchaguzi unaokuja, kwa maana kwamba kila mmoja anaweza kugombea nafasi hiyo.
“Nawaomba radhi Wazanzibar niliowakwaza katika mgogoro, nawakaribisha tujenge chama. Kwa upande wangu wakati wa mgogoro hawakunitendea haki na kunielezea mambo yasiyo ya kweli niliyoyasikia na nisiyoyasikia, nimewasemehe yaliyopita si ndwele.
“Nasisitiza vijana tujitokeze kugombea nafasi zote ikiwa ni pamoja na nafasi ya mwenyekiti wa Taifa, kwamba Lipumba hajawa na hatakuwa kikwazo kwa watu kujitokeza kugombea nafasi hizo,”- Lipumba.
View attachment 2117082
TLP, CUF, ACT ni vikundi vya wanafiki sana.Atakayemwamini huyu mtu akapimwe Mirembe.
I narudi bara au visiwani kwa kasi hiyo mkuu?CUF inarudi kwa kasi ya kimbunga
Hapo chachaaaYaelekea fedha alizolipwa kuua CUF na UKAWA zimekwisha na mlipaji kafa.
Kwakina Amy.I narudi bara au visiwani kwa kasi hiyo mkuu?
🤣🤣🤣🤣🤣 atajipokea mkuu akina Amy's washa badili upepooooKwakina Amy.
Huyu mzee Wana akili moja na Zitto hapo anavizia wanachama wanaojitoa ACT kule Zanzibar.Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, leo Jumamosi tarehe 12 Februari, 2022 amesema nafasi yake iko wazi…