Profesa Ibrahim Lipumba awaomba radhi Wazanzibar, yupo tayari kuachia Uenyekiti wa CUF

ASP ni ya Zanzibar. Hivi Zanzibar unaijua kweli au umeisahau?
 
Ujue mnaomlaumu huyu taahira mnapoteza wino wa seva wa JF bure tu. Huyu alikwenda kwa makusudi maalumu kuyafanya hayo aliyofanya ya kuuwa CUF, UKAWA na demokrasia kwa ujumla wake. Kafanikiwa kwa kiwango kikubwa. Achaneni nae! Hakuna haja kumsikiliza kwa chochote
 
MPUUZI KABISA, KAIUA CUF ndo leo anataka hivyo.....Propesa LIPUMBAVU......
 
ukishakubali kutumika kisiasa basi ujue siku anayekutumia atakuchoka na atakutema kama taste-less bubble gum.
 
Kuna mpango hapo.... Mtego ...

Wakiingia kichwa kichwa watakuja shtuka mbele huko.. mwenzao alipanga nini...

Lipumba anatumwa na anajua ... ..keshaharibu na sasa anaanza taratibu baadae she kuvuruga!

Tanzania hakuna upinzani.. ..
.
 
Huyu mzee Wana akili moja na Zitto hapo anavizia wanachama wanaojitoa ACT kule Zanzibar.

Ila watakaomuamini huyu basi wajue ndio wanaizika siasa ya upinzani kule visiwani.

Akili yake Kama jina lake ongeza neno "vu" mbele ya surname yake.
 
Maisha haya

Mbali ya Lipumba …waliosababisha CUF ikapasuka mmoja yupo Kaburini, mwingine yupo ICU na mwingine yupo Gerezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…