Profesa Ibrahim Lipumba awaomba radhi Wazanzibar, yupo tayari kuachia Uenyekiti wa CUF


CUF wakiweza kumshawishi Makamu Wa Rais Othman agombeee uenyekiti kazi kwisha
 
Msimwamini shetan hata siku moja
 
Haruna Kaka?.......mmmh maveeee
 
Anakuja kwa njia nyingine.mipango ni ile ile mara itakapofika tarehe ya uchaguzi atawaacha wenzake awe upande wa kijani.hapo tayari atakuwa kijenga chama kwa ulaghai
 
Mwisho wa ubaya huwa Ni aibu. Heri kufa masikini kuliko kusimangwa na walimwengu.
 
Wazanzibari hatujamkosea Lipumba, sasa anatusamehe kwa lipi 😀

Alijua watu wanapenda chama kumbe watu walimpenda Marehemu Maalim Seif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…