Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

Singeli haiwezi kwenda kimataifa, acheni ndoto za mchana.
 
Asante maprofessa wawili...
professa J wa Muziki
na Professa Kabudi wa Utamaduni...
hakika mnaenda kutendea haki utamaduni kupitia mziki Tanzania.
Bongo fleva ilianza na Nigger J alias Profesa J

Sasa Singeli linarasimishwa na profesa Kabudi...what a marvelous story!!

maisha kama kioo ukisema haufeli hautafeli msikie Nigger J hapo wewe!

Kazi iendelee
 
Back
Top Bottom