Profesa Janabi: Bei ya sukari imepanda juu, take advantage

Kwenye hili nakubaliana nae, sukari sio nzuri. Najisikia vibaya ninapomuona mtu mkononi ameshika soda.

Mafundisho yake mengine unaweza kuona kila mlo haufai kwa binadamu

Halafu watu wabishi wanamuona huyu Dr mbaya wakati anachowaambia nj kwa faida yao
 
Ni kweli sukari ya chai (table sugar) ndiyo husababisha ugonjwa wa kisukari? Je, bei ya mahindi ngano na mchele ikipanda pia tu-take adavantage..!? This is professorial rubish!!
 
Kwenye hili nakubaliana nae, sukari sio nzuri. Najisikia vibaya ninapomuona mtu mkononi ameshika soda.

Mafundisho yake mengine unaweza kuona kila mlo haufai kwa binadamu
Kumbe sukari iliyoko kwenye fanta ni ya Mtibwa?
 
Janabi anausaka uteuzi wa kisiasa kwa nguvu zote, na ameshajipata.... ni suala la muda tu.
 
Mbona watalaam wa afya wanasema asali haina shida?

Mnatuchanganya mjue.
Sukari iliyo mbaya ni simple sugars kama sucrose na glucose kwani zinakwenda haraka kwenye damu na kuleta madhara kama kuziba mishipa, Kisukari na unene.

Kuepuka hayo tumia sukari tata kama zilizo kwenye vyakula visivyo kobolewa.
 
Mnazidi kunivuruga.

Mkuu ndani nina dumu la asali lita 20, kwahiyo asali ni simple sugar au sukari tata?
 
tanzania hakuna matunda ya maana matunda wanaunguza na moto yaive haraka nayo ni sumu ukila embe halina test ukila ndizi hakuna test ukila tikiti hakuna test machungwa nayo makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…