Profesa Jay akamatwa na kupandishwa kizimbani (Movie)

Profesa Jay akamatwa na kupandishwa kizimbani (Movie)

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1405272307.815939.jpg

Msanii wa kizazi kipya maarufu kwa jina la Profesa Jay ameachia picha kibao siku ya leo huku zikimuonyesha akiwa katika hali tata akiwa na watu waliovalia jezi kama za jeshi la polisi, katika picha hizo pia wameonekana Diamond Platnumz na Producer maarafu hapa Bongo Majani wa Bongo Records.

Baadae ilifahamika kuwa picha hizo zilikuwa za maandalizi ya video mpya ya Profesa Jay ft Diamond Platnumz-Kipi Sijasikia inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

ImageUploadedByJamiiForums1405272377.892772.jpgDomo na Prof JImageUploadedByJamiiForums1405272415.861978.jpg
 
Picha na habari havijawiana na heading mkuu! But thanks for update. All the best Prof. J
 
Umeynywa viroba? kwa mujibu wa maelezo badiri heading iwe "prof jay ajipandisha kizimbani"
 
Mleta uzi wewe ni ----,nimekutakana kesho usiandike kichwa cha habari kama ulichoandika leo.
 
namwona wakili ndomo na kiduku mahakamani...wana utani na fani za watu
 
hahha watu wanavyomtukana mtoa mada.... hahaha tunaoijua hii habari kabla haijatustua
 
Hiyo si video ya kipi sijasikia... ila wakili na Afro kichwan lol kama fidodido
 
Na wewe ni mtoa habari,ndo maana hivyo vyuo vya wanahabari vya vichochoroni vifungwe
Sasa wewe ndio umekurupuka kama umeshikwa ugoni huo ndio uandishi kama ni gazeti ushalinunua.Ila umenifurahisha pia unaonesha unapenda umbea habari imepost saa 20:28 wewe saa 20:39 ushamwaga coments.............?
Kweli jay kaimba Ni kipi sijakisikia?
 
Back
Top Bottom