Profesa Jay nae kufunga ndoa hivi karibuni

Profesa Jay nae kufunga ndoa hivi karibuni

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
x10616801_739013806157461_1892671967_n.jpg.pagespeed.ic.Dsg12lhzC-.jpg

Professor J akiwa na Mama Lisa

Baada ya Mwana FA, Masanja, Zitto kuuga ukapera hatimaye sasa Prof Jay naye yuko mbioni
Rapper huyo ambaye hivi karibuni ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kazi Kazi’ akiwa ameshirikisha Sholo Mwamba, amekiambia kipindi cha FNL cha East Africa Television Ijumaa hii kuwa yupo kwenye maandalizi ya kufunga ndoa.

“Very soon naingia kwenye maisha ndoa,” alisema Professor. “Wakati naingia kwenye majukumu mapya haya hata mke wangu aliniruhusu hebu tumikia wananchi alafu baadae kila kitu kitakuwa sawa, very soon, very soon jiandaeni na kadi zangu,”

Pia rapper huyo amesema yeye haamini kama kuoa kunaweza kumsababishia msanii wa muziki kushuka na kupoteza baadhi ya mashabiki.
 
siku hizi mnazaa kwanza.. watoto wenu wanakua kidogo ndio mnafunga ndoa..

mambo ya ndoa ni baby mamas na baby dadiz tu..
 
Walisemaga ana ngoma huyu Jamaa. Sasa......
Wabongo tunapenda umbea sana. Kwa muda fulani nimeaminishwa kuwa mwanamitindo wa Wemba yuko timu ya upinzani. Surprisingly, kwenye mkasi anasema ana mtoto toka form aliyempata akiwa form two! Sio vizuri kuchafuliana majina bila uhakika wala sababu ya msingi.
 
Aliyekuambia bwabwa hazai nani? Haukuambiwa ni hanithi usichanganye maneno
 
Aliyekuambia bwabwa hazai nani? Haukuambiwa ni hanithi usichanganye maneno
Sio kuchanganya maneno, natambua kuna watu kabisa wameoa lakin sio wenzetu. Kuna mabaunsa, lakini sio wenzetu. Hoja yangu ni kuwa suala ya huyo dogo ni la kufikirika zaidi (far fetched) kuliko uhalisia.
 
Back
Top Bottom