Profesa Jay ndo Mwana hiphop bora wa muda wote Afrika Mashariki


kiongozi unaongelea HIP gani

ukiongelea MC mzee baba hapo amesimama FID Q

nahio ndio nguvu halisi ya HIP MC
 
Ila kitu namshauri,chakula kitamu ni kizuri ukiache kabla hujashiba vizuri ukitaka ule mpaka uvimbiwe kinachofuata ni kuua heshima ya vazi lako zuri ulilolitafuta Kwa miaka mingi,
Prof J ndio tunu ya mziki wa Hip-hop bongo,Nina Baba yangu mstaafu ukienda Hadi leo huwa anasikikiza nyimbo za Prof J ila bro angestaafu mziki ili amantain heshima yake maana kadiri muda unavyokwenda anazidi kupwaya kiuandishi,nyimbo nzuri ya mwisho aliimba J ni Nang'atuka ya miaka ya 2008 nahisi kuanzia hapo amekuwa haimbi Kama zamani so now angejikita kutetea wananchi kupitia bunge,angeanzisha foundations mbalimbali za masuala ya mziki na jamii Kwa ujumla,akiendelea Sana kusukumana na watoto wake kwenye majukwaa kuna siku hatakuja kujulikana hata alikuwaga Nani maana anazidi kuwa so cheap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You said the truth bro,, now is the new era for new generation,, new flow,new style,, Apumzike kwa heshima
 
Usiulize tuzo, ulizia ngoma zake
1.Chemsha Bongo
2.Ndio mzee
3 Kikao cha dharura (Sio mzee)
4.Msinitenge
5.Zali la mentali
6.Bongo Dar es Salaam
7.Niamini
8.Nikusaidiaje
9.Jukumu letu
10.Machozi jasho na damu
11.J.O.S.E.P.H
12.Piga makofi
13.Kipi sijasikia
14.Ndivyo Sivyo
15.Yatapita ft. Harmonize
Na nyingine kibao
J anatunzo ngapi za EA ? Nikumbushe labda nilikuwa nanyonya enzi zake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaligraph hana hits?
 
Hits kwa vigezo vyako.

Unaweza sema pia young dee ni mkali kwa sele sababu ya hits au tuzo si ndio??
Hahaha.
Prof mkali kwa vigezo vyako pia!
Au proof imefanyika kuhitimisha kuwa prof ni best mc of all time?

Leta majibu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…