Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Aman iwe juu yenu
Yes is onether Friday siku ya kufurah na kuenjoy
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja au siyo mazee
Anaitwa Joseph haule ni msanii na mbunge wa mikumi
Bila Shaka watu wote tunamfaham huyu jamaa.
Kwa sisi wapenda burudan tunajua fika kabisa kuwa huyu jamaa ndo kafanya mziki wa rap wa kufoka foka kupendwa na wazee, akina mama na watoto
Huyu mwamba ana heshima sana kwetu sisi wanahiphop aman kwake.
Bila ubishi kabla yake kutoka kimziki kuna wanahiphop wengi walitoka kabla yake na hata baada ya yeye kutoka kuna wanahiphop wengine pia wametoka aman kwake mtu huyu
Bila kupinga huyu jamaa ndo mwanahiphop bora wa mda wote hajawah tokea wanahiphop wa kumtingisha huyu jamaa. Huwa wanakuja wanatamba kivyao na wanapotea kivyao. Aman kwake mtu huyu
Profesa wewe ndo mwanahiphop bora wa mda wote aman kwako kamanda
LONDON BOYView attachment 1023258
Sent using Jamii Forums mobile app
kiongozi unaongelea HIP gani
ukiongelea MC mzee baba hapo amesimama FID Q
nahio ndio nguvu halisi ya HIP MC