Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #41
Una uhakika mzeekiongozi unaongelea HIP gani
ukiongelea MC mzee baba hapo amesimama FID Q
nahio ndio nguvu halisi ya HIP MC
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika mzeekiongozi unaongelea HIP gani
ukiongelea MC mzee baba hapo amesimama FID Q
nahio ndio nguvu halisi ya HIP MC
Weus nao ni wana hiphopMfalme wa Hip Hop Tanzania si Afande sele au kuna mapinduzi yalifanyika kimyakimya!?..
Tukiongelea EA huko ni kudanganyana, kuna Fid Q, Weusi, Wakazi, Nash Mc, Khaligraph jones, Octopizzo, Nonini, Jua kali etc nao tuwaweke wapi!?..
hapana waimba taarab!..
Duh uzi ulianza vizuri ila baadhi mnaanza kuingiza utani?! Yaani unataka kuifananisha Mazishi na Bongo Dar es Salaam au Piga Makofi au Zali la Mentali au Nang'atuka?!Khaligraph hana hits?
Kharigraph Jones papa Jones
fa-mabinti,j mo-kama unata dem ni kundi moja na hiyo ngoma yako,kasikilize sugu-mikononi mwa polisiTokea kuumbwa kwa ulimwengu sijawahi sikia ngoma kali Kama bongo dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.
Prof mkali kwa vigezo vyako pia!
Au proof imefanyika kuhitimisha kuwa prof ni best mc of all time?
Leta majibu hapa.
AiseeProfessor Jay umeamua kuanzisha thread
Hujui fanani na afande sale wapo humu bila kumsahau mchizi MOX na chid Benz wapo
Prof noma sana jamani. wasanii wa kitambo walikua wanajua kuandika mistari.
Hatar sana