Profesa Jay

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
1,741
Reaction score
511
Wadau wa muziki maarufu kama Bongo Fleva, mmesikia wimbo mpya wa Prof. J? Unaitwa KamiliGado.

Nahisi Profesa Jay ameanza 'kuzeeka' maana huo wimbo haudhihirishi 'uprofesa' wake. Ameamua kuimba, yeah, autotune and all that but melody ya wimbo ni ya kawaida sana. Mistari pia hain lolote jipya given that anarap kuhusu Mapenzi (atleast angeonesha uniqueness and creativity in rapping about love).

Kwasababu anajua wimbo wake ni mbovu na hivyo unahitaji promo ya ziada, ameamua kuufungulia website (mara ya kwanza kuona wimbo unafunguliwa website) www.kamiligado.com ilhali yeye kama msanii hana website ya kumtambulisha!

The only reason why his song is getting airplay, ni 'kulinda heshima'!

Ushauri wa bure: Nunua mashairi makali ama 'tundika daluga'!
 
Kila chenye mwanzo kina mwisho..
 
Professor ameamua kubadilika na kutoka kivingine. Siyo lazima kila muda mashairi yawe magumu. Muda mwingine unalegeza kidogo ili uwashike kinadada ambao kiuhalisia ndiyo wanunuzi wakubwa wa kazi zetu. Mimi mwenyewe nina mpango wa kubadili staili kabisa na kuanza kumuiga Lil Wyne.
 
Kwli ukizeeka akila zinakua za kitoto j ma fevorate katoka ki undrground.
 

Nakubali kuna kubadilika, lakini kubadilisha style haimaanishi tunataka kusikia mashairi ya kawaida kila siku. Who wants to hear, 'nakupenda, sitokutenda' everyday. Where is the creativity in rhyming?
 
Kwli ukizeeka akila zinakua za kitoto j ma fevorate katoka ki undrground.

Hahaha, kweli anarudi kwa ma'underground ingawa radio bado zinambeba! I'm a big fan of Jay na niliposikia katoa wimbo and you can download it, nika'rush just to be disappointed in the end.
 
wakali wapya wanawatia wazimu wakongwe mpaka hawajui wanataka kuimba nini!......siyo huyo tu ana wenzake ferouz sijui kaimba uozo gani,FA nae analazimisha lakini wapi japo video kaitolea macho lakini mvuto hapana,AY kachanika kama vijana noma kaamua kuangalia nje ya bongo na kufanya collabo na wakali wa nje japo kimtazamo wangu nae hana jipya!diamond,ally kiba,izzo B,godzilaa na wengine wanawanyima wakongwe usingizi!!!mwanangu TID nae naona chali kuanzia kuimba mpaka mvuto kawa babu si babu!Hemed PHD kakamata na kumuhanyisha TID......
 

Kwisha habari yao. Sijui kuna ugumu gani kwao kusoma alama za nyakati wakati wana wadau wengi wa kuweza kuwashauri?
 
Nakubali kuna kubadilika, lakini kubadilisha style haimaanishi tunataka kusikia mashairi ya kawaida kila siku. Who wants to hear, 'nakupenda, sitokutenda' everyday. Where is the creativity in rhyming?

Sidhani kama kuna haja ya kulalamika juu ya wingi wa mashairi ya mapenzi. Binadamu tumeumbwa kupenda na siku zote ni mapenzi ndiyo yanayokimbiza ulimwengu, utake usitake. Ulitaka waimbe juu ya CCM na CHADEMA?
 
Sidhani kama kuna haja ya kulalamika juu ya wingi wa mashairi ya mapenzi. Binadamu tumeumbwa kupenda na siku zote ni mapenzi ndiyo yanayokimbiza ulimwengu, utake usitake. Ulitaka waimbe juu ya CCM na CHADEMA?

Najua nyimbo za mapenzi zipo na zitaendelea kuwepo na kupendwa pia. But my point lies in this question here

Where is the creativity in rhyming?
 
Prof Jay kasanda hana jipya wimbo wa mwisho mkali ni Hapo vipi? Hapo sawa 2009 baaaasiiii nyingine zote wanampa promo tu.
 
Huyu jamaa prof j simpendi kabisa,,,,,,nyimbo zake zinaboa.........hata loon alivyokuja bongo alimponda sana.....
Sugu ndo mwenyewe
 
Mtakufa na wivu! Mbona mashairi yake yametulia, na jamaa anasauti bomba kabisa, tena kamiligado!!!
 
Professor yupo juu!!! Acheni wivu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Inabidi wasanii wa ki-bongo wabadilike kimtazamo,kuandikiwa mashairi sio dhambi wala kujishusha...JAY wa leo sio yule wa 'Bongo daslam' .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…