Unawaza kwa mapana sana [emoji109]Shule za kata.
Watoto wa kike....
GoodView attachment 1715551
Mbunge wa Kasulu Mjini Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita wanafunzi wote wa kike waliosoma katika shule za serikali na kupata Daraja la kwanza katika jimbo lake kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka huu 2021.
View attachment 1715552
Mbunge wa Kasulu Mjini na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kutoa Shilingi Milioni Mbili kwa ajili ya kutunusha mfuko wa kutoa motisha kwa walimu waliofanya vizuri katika mitihani ya mwisho ya kumaliza elimu ya Msingi na Sekondari Katika Halmashauri ya Kasulu Mji
Kati ya watu wana uwezo wa kufikiria sawasawa humu nawe upo mkuu. watoto wakike + shule za kata huko kasulu = almost 0 hivyo hatalipa chochote.Shule za kata.
Watoto wa kike,
Division one,
Ada ni Tsh 70,000
Hata mimi muuza genge naweza kutoa hiyo ahadi tena kwa tashwishwi za kibeberu.
Hakika ukweli ndio huo. Uwezekano wa mtoto wa kike kupata Division one kwa shule za Serikali ambazo nyingi ni za kata huko Kasulu haupo.Kati ya watu wana uwezo wa kufikiria sawasawa humu nawe upo mkuu. watoto wakike + shule za kata huko kasulu = almost 0 hivyo hatalipa chochote.
Tena hiyo 70,000 Kama sikosei ni boardingShule za kata.
Watoto wa kike
So wengi walifeli🤣🤣chezea kigoma weye,tokomeza zero🏃🏃🏃Kati ya watu wana uwezo wa kufikiria sawasawa humu nawe upo mkuu. watoto wakike + shule za kata huko kasulu = almost 0 hivyo hatalipa chochote.
kwa sababu ya elfu 70? umeangalia matokeo ya watoto wa kike huko kasulu shule za kata?Ni muda muafaka Sasa wa kumuahamisha binti yangu kigoma
Hakika ukweli ndio huo. Uwezekano wa mtoto wa kike kupata Division one kwa shule za Serikali ambazo nyingi ni za kata huko Kasulu haupo.