Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita Wanafunzi wa Kike

Wewe huwajui wanasiasa kumbe yani mwanasiasa atoe msaada kimyakimya haipo hiyo.
 
Mimi siamini Kama kasema hivyo. Labda arudie hiyo ahadi yake kwa kiingereza.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Joy na kakaake kingereza kinawazidi urefu ndio maana wanajidai kuipa promo kiswahili tulishajua hilo.
 
Shule za kata.

Watoto wa kike,

Division one,

Ada ni Tsh 70,000

Hata mimi muuza genge naweza kutoa hiyo ahadi tena kwa tashwishwi za kibeberu.
Wengi mkijitolea, wengi watafaidika! Kutoa ni moyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…