TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

Kabudi Yuko wapi siku hizo. Nimeuliza TU?
IMG_20210707_133022_162.JPG
 
Alikuwa Dean wetu informatics UDOM

Alikuwa lecturer wa courses za Telecom , alinifundisha antenna
Umesoma informatics ndugu...hongera Sana ..yani Sitokaa nisahau mateso ya informatics...somo la programing... Mohamed dewa...duh
 
Daah.. namkumbuka sana aliwahi nipa ushauri muhimu sana enzi hizo alikuwa mtu poa sana
 
Uwe na PhD, pia uwe mwalimu, mtafiti, mwandishi nguli katika vyuo vya elimu ya juu.
Kuna watu wanasema ili uwe profesa lazima ugundue kitu...tafuti za maprofesa zinapatikana mitandaoni?nataka nizisome
 
Back
Top Bottom