Uchaguzi 2020 Profesa Kabudi achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania ubunge Kilosa

Uchaguzi 2020 Profesa Kabudi achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania ubunge Kilosa

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi-CCM kuwania ubunge jimbo la Kilosa.

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Wananchi wa Kimamba wamhakikishia Rais Magufuli kwamba watamchagua Profesa Kabudi kuwa Mbunge wao. Atangaza nia

Kabudi.jpg
 
Hivi huyu asili yake ni wa mkoa wa Morogoro au Dodoma?
Kuna mkanganyiko kwenye maelezo yake yanayopatikana mtandaoni ingawa asili ya mtu si kikwazo..Kilosa pameonekana hawana nongwa
 
Back
Top Bottom