Bruno Toto
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 477
- 546
Amezaliwa Kilosa, hta hivyo sio wote watia nia wamezaliwa kwenye majimbo husikaNinavyojua huyu Professor ni Mgogo na Kilosa ni ya Waluguru, kulikoni? Au Kilosa nayo ni kama majimbo ya Dar es Salaam?
Mwenye kujua siri ya urembo atujuze tafadhali.
Ulisoma jiografia ya darasa la 4? Hujui Kilosa inapakana na mkoa wa Dodoma? Kuna shida gani yeye kuwa Mgogo wa Kilosa?Ninavyojua huyu Professor ni Mgogo na Kilosa ni ya Waluguru, kulikoni? Au Kilosa nayo ni kama majimbo ya Dar es Salaam?
Mwenye kujua siri ya urembo atujuze tafadhali.
Mmeishaanza kulogana kudadeki !Ninavyojua huyu Professor ni Mgogo na Kilosa ni ya Waluguru, kulikoni? Au Kilosa nayo ni kama majimbo ya Dar es Salaam?
Mwenye kujua siri ya urembo atujuze tafadhali.
Huyu kazaliwa berega hapo Kuna ndg zakeKafosi kuonekana wa kilosa ila si wa kilosa, juzi Rais anawaambia wana kilosa mwanenu huyu nani..nani professa nani ( anajifanya hajui) wakamjibu profesa J