Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

Hapana Mkuu hujamalizana nae,mjibu kwanza maswali yake,umekuwa unajitahidi kutoa maelezo marefu ktk kila comment,mbona unaonekana kugadhibika na haya maswali mawili tu uliyoulizwa?
Sijaghadhibika ila nilifikiri na deal na vijana wenye upeo wa ku reason mambo makubwa na wenye kupenda kuelewa mambo wasiyo yajua ili kupanua bongo zao, sikujua kama na deal na vichekechea ambavyo bado vinategema maziwa ya mama.

Sina time ya ku deal na ndama wasiopenda kujifunza mambo wasiyoyajua na ni wastage of time kuendelea kuwaelimisha. Haya mazombie yamekwisha haribikiwa kimaisha yana waza kila wakati kuzomeana kwenye mitandao. Hawajui kama wanajichimbia weyewe makaburi yao ya kukosa uwezo wa kuwa na upeo wa mawazo mapana.

Nimesha sema kuwa wao ni ma "Autists". Sasa tafuta maana ya mtu ambaye ni Autist ana charachteristic gani? Hapo ndipo utanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan maslahi ya tumbo lako na familia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hili gazeti ndiyo ukweli wenyewe mjuvi wa mambo unataka tuujue?

Labda nikuulize swali madogo mawili tu
1 hivi unafahamu jumuiya ya Africa mashariki ya sasa iko kwenye stage gani ?

2 Hivi unafahamu tofauti uliopo kati ya EAC ya sasa na ile ya zamani kimuundo na kisheria ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv uprofesa n akili nyingi hata ukiwa na mambo ya ajabu kumbe?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania mnapenda sana uongo ndiyo maana mnaongopewa. Huwezi ongopewa kama hauko tayari kuongopewa.

1. Mapapai, mbuzi na oil vina koona. Amen.
2. Madagascar kuna dawa ya koona kumbe maligafi ya utafiti. Amen.
3. Mpaka wa Nakonde hauja fungwa ila ni temporary closed. Ameni.
4. Mkutano haukuwa wa EAC ila wa Northen corridor sijui sebule ya nyumba. Ameni.
5. Sisi hatukualikwa kwenye mkutano wa EAC ila yaliyojadiliwa sisi tunatekeleza toka kitambo. Ameni.
6. Sisi ndiyo tulioongoza kikao cha SADC cha kupambana na koona. Ameni, Ameni.
7. Koona inapungua kwa kasi ya Dreamliner's (very new). Ameni, Ameni and Ameni.
8. Tunasubiri ..wa leo. Ameni.

Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…