Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Haya nenda ukapokee malipo yakoNimemalizana na wewe. Kama hujanielewa basi wewe utakuwa ni "Autist"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nenda ukapokee malipo yakoNimemalizana na wewe. Kama hujanielewa basi wewe utakuwa ni "Autist"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama linamadhara hata kwa ustawi wao kikubwa wasifie tu.kununuliwa kubaya sana, hawa jamaa wanasifia kila jambo hii hatari sana.
Nimemalizana na wewe. Kama hujanielewa basi wewe utakuwa ni "Autist"!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaghadhibika ila nilifikiri na deal na vijana wenye upeo wa ku reason mambo makubwa na wenye kupenda kuelewa mambo wasiyo yajua ili kupanua bongo zao, sikujua kama na deal na vichekechea ambavyo bado vinategema maziwa ya mama.Hapana Mkuu hujamalizana nae,mjibu kwanza maswali yake,umekuwa unajitahidi kutoa maelezo marefu ktk kila comment,mbona unaonekana kugadhibika na haya maswali mawili tu uliyoulizwa?
Swali zuri sana hili. Akikujibu nitagElimu yako kubwa imevumbua nini cha kusaidia Taifa hili kuondokana na umasikini?
Kama wewe unatumwa na mabasha wako sio mimi. Mimi ni mtanzania ninaye thamini utu wangu na maslahi ya nchi yangu. Kama wewe unatumiwa na wakoma wako hao endelea kufanya hivyo.
Lakini zingatia kuwa kwenye uhai wangu hakuna kitu kiitwacho EAC katika mipaka yetu. Kama unataka kufumisha EAC kwa conditions zilizopo ningekushauri utafute nchi nyingine. Nenda Kenya au huko Rwanda.
Usiwe juha kijana. Ondoa matongotongo yako usoni. Usiwe limbukeni wa vitu visivyo vyako ukajiona unajua kila kitu. Wewe hujui kitu ni kasuku ambaye ana bwabwaja vitu asivyo vijua. Utauza mpaka back yako kwa kushabikia upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama maana ya akili ni hizo unazozionyesha hapa, sihitaji kuwa nazo. Hizo mpelekee andunje na yule aliyejificha mapangoni huko cape Delgado. Huenda zikawasaidia kuvukia barabara. Idiot.
Hata mimi nashangaa sana kaandika gazeti halafu limejaa upumbavu tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hili gazeti ndiyo ukweli wenyewe mjuvi wa mambo unataka tuujue?Sijaghadhibika ila nilifikiri na deal na vijana wenye upeo wa ku reason mambo makubwa na wenye kupenda kuelewa mambo wasiyo yajua ili kupanua bongo zao, sikujua kama na deal na vichekechea ambavyo bado vinategema maziwa ya mama.
Sina time ya ku deal na ndama wasiopenda kujifunza mambo wasiyoyajua na ni wastage of time kuendelea kuwaelimisha. Haya mazombie yamekwisha haribikiwa kimaisha yana waza kila wakati kuzomeana kwenye mitandao. Hawajui kama wanajichimbia weyewe makaburi yao ya kukosa uwezo wa kuwa na upeo wa mawazo mapana.
Nimesha sema kuwa wao ni ma "Autists". Sasa tafuta maana ya mtu ambaye ni Autist ana charachteristic gani? Hapo ndipo utanielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshamwelewa analeta maelezo marefu yasiyo na maana kwa sababu kuu mbiliHuyu et n miongon mwa watetezi wa mataga,Kweli Slowslow amesajili misukule
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio sisi vizazi vya Nyerere unafikiri wewe leo ungekuwa Bongo? Tena jinsi unavyo jipa jipa inaonekana kama wewe ni mtu wa kutoka Bush. Mshamba wa maisha na vitu ambavyo huielewi. Wewe kijana huna akili nzuri. Wewe unafikiri ukijua kushika Smart phone ndiyo unajua kila kitu?
Nyie ni watu wa ajabu sana, yaani mnakuwa malimbukeni wa kila kitu cha wazungu. Mnatumia vyombo vya wazungu kujidhalilisha nyie wenyewe. Mnakuwa viumbe msio na msimamo. Viumbe dhaifu na msio jua maana ya maisha ya kujitegemea. Nyie ni viumbe mlio zoea kuomba omba. Niambie akili yako ambayo mungu amekupa umeifanyia nini mpaka sasa, zaidi ya kukaa na kuzomea viongozi wako?
Huyo Waziri unayemwona mwongo mwenzako ana PHD na ni Professor. Wewe una nini? Kichwa chako kimejaa mambo ya kijiweni.
Mnakaa kuwathamini watu ambao nyinyi hawawathamini. Usifikiri hata kama utapata nafasi ya kwenda ulaya wazungu watakuthamini wewe sokwe wa Oldonyo Lengai. Wazungu wanawatemea mate manyani kama nyie mnao jifanya kujiendeleza kwao. Angalia mwingereza mwenye Covid 19 alivyo mtemea mate huyu sister ambaye alipoteza maisha baadae kwa kuambukizwa na virusi vya Corona kwa makusudi.
Jivunie chako brother. Kama uzunguni sisi ndiyo tumekulia huko, tumesoma huko, tumefanya kazi huko na kutengeneza familia huko. Usijifanye unayajua ya wazungu wakati kumbe ni limbukeni tu wa ya wazungu. Kujivunia ya wazungu wakati uzunguni kwenyewe hujafika unakusikia tu mitandaoni.
Usiwe Falah wa kutupwa na mnuka jasho la Bongo. Unamkandia waziri wakati mlo wakonninmara moja kwa siku. Hata kazi huna wala profession. Niambie una profession gani ya kukufanya wewe umwone waziri ni mwongo. Karamba!
Mimi siwaelewi nani anawadanganya kuwa mkiwazomea viongozi wenu wazungu watawapenda nyinyi.
Mnajivunia Smartphones wakati mnamtajirisha mzungu ambaye anawaendesha kama punda.View attachment 1451321
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshamwelewa analeta maelezo marefu yasiyo na maana kwa sababu kuu mbili
1. Kudivert mjadala
2 haelewi anachokizungumza
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mwenyewe anaona kaongea la maana sana.